Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

Mungu uliye muasisi wa haki funua kila jiwe na maficho ya Mafisadi yale yaliokuwa yanaongelewa uvunguni yawe juu ya mapaa ya nyumba, walinde watumishi wako wote wanaoitetea HAKI! Shika upanga na Mkuki uwe upande wa wanaowatetea wasio sauti AMINA.
 
Invisible si vyema kupotosha umma, hakuna aliyekamatwa na polisi. Au Msemakweli kwa habari alizotowa hafai kuisaidia polisi katika uchunguzi?
 
Ni vizuri kukamatwa na kufungwa yeye maana ushahidi hana anakurupuka na kuchezea dola
KWANI AMEKURUPUKA NINI??

There are currently 402 users browsing this thread. (129 members and 273 guests)
 
ndipo tutajua kuwa polisi wako kwa ajiri ya nani,na usalama wa taifa wapo kwa ajili ya nani
sii JK alisema mwenye ushahidi aulete?sasa kauleta na panaitakija sheria ichukue mkondo wako

tunafatilia kwa karibu sana ili jambo
 
Hii nchi itaheshimu utawala wa sheria siku gani? wezi wanawekewa ulinzi na mazuria mekundu, bt wanachi wanakufaa nyaa! huyu jamaa "msemakweli" ana-akisi jina lake, acha aseme ukweli
 
Msemakweli ni watanzania wachache wanaweza kuwa jasiri hivo. Umeonyesha uzalendo wa hali ya juu. Tatizo la watanganyika tulio wengi ni "bora liende". Waibe sawa! wapandishe bei poa! Cjui wapi tulipotea njia na cmjui aliyetupotezea huku.
 
Mh JMK kama uko ofisini ni wakati muafaka wa kuchukua maamuzi Magumu. Ikibidi usisubiri CDM waitishe maandamano! Weka historia Amrisha na ongoza mwenyewe leo maandamano ya kulinusuru Taifa!
 
Kama sikosei si huyu aliyetajaga Mafisadi wa Elimu na wakatishia kwenda mahakamani hadi leo hakuna aliyekwenda na CCM inazidi kuwatunuku vyeo zaidi kwa degree zao feki?

Pigana kaka Tz iko nyuma yako, fanya kama yule mwanaharakati wa India
 
Kama kweli Msemakweli amekamatwa, Hongera jeshi la polisi, hongera vyombo vyote vya dola.

Na sitaki kusikia mmemwachia, endeleeni kumshikilia kwa kosa lake la kuonyesha uchungu wa mali za taifa zinazoliwa na wajanja wa wachache, naam mmkamateni na mmchukulie hatua kali za kidhalimu.

Kwani kwa kufanya hivi, vyombo vya dola vitakuwa vina-mpublicize Msemakweli na mapambano yake dhidi ya ufisadi, hili ni jambo zuri sana kutokea, kwani kwa kufanya hivyo ujumbe wake utaweza kusambaa pande zoote za nchi, na kuibua uchungu mioyoni mwa wananchi wasionufaika na mfumo huu dhalimu, na hilo likitokea ole wao woote wanaoneemeka na mfumo wa kifisadi, hawatakuwa salama, ole kwao.

Go Msemakweli, Go,
 
je anahojiwa au wanachukua maelezo kwa tuhuma ipi au wanataka awasaidie????
 
haaaa nchi hii bwana vituko haviishi, sasa kosa lake nini!?
Nani wakuikomboa nchi hii! WAHINDI walioiba pesa wanatesa mtaani tuu!
NASISITIZA TENA WAHINDI WEZI WANATESA TUU, hata mkiniita mbaguzi sawa
WAHINDI WEZI NA HAO WA KINAUARABUNI!

Mkuu Rostam sio mhindi ni MUIRAN,
 
Nadhani kuna dhana potofu kwani kama mtu anania ya kusaidia umma kuelewa mustakabadhi wa nchi yao na hatimaye dola kumwonea nadhani ni ukiukwaji wa sheria.

Dola ingefurahia kupata taarifa kama ambavyo walikuwa wanapewa fedha za ujambazi ili mtu akitoa taarifa basi alipwe sasa malipo ya huyu ni kukamatwa basi hii nchi ina wenyewe na watanzania tulie na tutalia sana
 
Mh JMK kama uko ofisini ni wakati muafaka wa kuchukua maamuzi Magumu. Ikibidi usisubiri CDM waitishe maandamano! Weka historia Amrisha na ongoza mwenyewe leo maandamano ya kulinusuru Taifa!
<br />
<br />
mkuu hii tayari hoja yakukiua chama tawala pale igunga..
 
Badala ya nchi kufurahi kwa kuwadaka wezi, wanamshambulia innocent guy, kwani serikali ndo rostam na manji, au kuna majina behind ya wale walio tengenezwa kutoka kwenye nazi?
 
Back
Top Bottom