Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

Afadhali aishie segerea tu!
Mtu mmoja hawezi kuivuruga nchi.
Hivi ccm wanasaidia ukoo wako wote kwa utetezi wako dhidi yao hata kwenye mambo ambayo yapo wazi kama haya? Au unafaidika peke yako huku ndugu zako tukipata tabu nao huku mtaani?!
 
Hihi ndo Tanzania bwana, Mimi nasemaga ccm niyamajambazi mualifu anakula kuku shaidi ndo yupo polisi kazi kweli kweli
 
nchi hii imejaa mapepo matupu!! na ndiyo maana hata mvua imegoma kunyesha. hatujui tunaenda wapi na tunatoka wapi ni kama kondoo ndani ya zizi gizani.

Nchi inayumba - mihilimili 3 inayumba, CCM inakufa. Msemakweli kasema ukweli wake. sms sent.

Ujasiri wa Msemakweli ni sawa na ule wa KIBANGA aliyoamua kumpiga konde mkoloni bila woga - alijitoa mhanga wa lolote.
 
Yeyote anayetetea maslahi ya taifa/wananchi ni mbaya!!!
Nchi hii bwana!

The sorrows may last for a night but His joy comes in the morning

Si hizi ndio zilitumia kwenye kampeni na kumwingiza nanihii. This is a very serious issue. Ole wenu wenye kumnyanyasa mtetea haki. Muulizeni Gadafi.
 
Mbona ile list ya mafisadi wa elimu aliyoitoa kipindi kile tena kwene kitabu hawakumkamata? mmmh ngoja nkale mie mwaya, naona movie imerudi tena sokoni....
 
Mpwa acha acha kabisa kutaja mambo ya ualimu, unanikumbusha kidonda mkuu, ilibidi niache ualimu kwa machozi; nawasikitikia wale wanafunzi na ilibidi niwaeleze ukweli kuwa naacha kazi ya ualimu kwa sababu hizi za kunyanyaswa na wao wakakubali na wakaniahidi kuwa mawazo niliyoyapanda na fikra pevu nilizozipandikiza ndani yao watazitumia sahihi kwa wakati sahihi; Kusema ukweli japokuwa nilikuwa nawafundisha lakini nilitumia free periods kuwajenga kisiasa na kuwaeleza adui yao mkubwa ni nani na kwanini wao shule nzima haina madwati, vitabu wala maabara huku walimu tukiishi kwenye banda moja; Na mimi nataka siku moja niitishe vyombo vya habari nijinyoge mbele yao labda hawa mafisadi wataelewa.

mkuu hawataelewa hata wakijinyonga watu 1000, huyu JK na serikali yake ya kifisadi wanaroho ya jeuri na dharau sana, kama wanadiliki kuua wanyonge na rasilimali zao huko migodini ukijinyonga wewe utakuwa umewapunguzia hasara ya wao kutumia risasi. mtumba ekadu vyaagea maya.
 
Tusilaumu sana bila kujua dhumuni la kushikiliwa kwake na polisi.

Inawezekana ni kwa usalama wake pia!Labda kuna taarifa mbazo TISS wamezipata zinazotishia usalama wake.Katika mazingira hayo lazima polisi imlinde hata kwa namna ambayo itaonekana ni kumkamata, kutokana na unyeti wa ushahidi alionao.

Tuwe na subira mara nyingine.
Police wa wapi unaowazungumzia mkuu?kama ni wa hapa kwetu ilo sahau.
 
Tusilaumu sana bila kujua dhumuni la kushikiliwa kwake na polisi.Inawezekana ni kwa usalama wake pia!Labda kuna taarifa mbazo TISS wamezipata zinazotishia usalama wake.Katika mazingira hayo lazima polisi imlinde hata kwa namna ambayo itaonekana ni kumkamata, kutokana na unyeti wa ushahidi alionao.Tuwe na subira mara nyingine.

Kama ni kwa usalama wake wampeleke ikulu ambapo usalama ni 100% na sio kumchanganyana na wavuta bangi na wanywa gongo anastahili heshima ya kuwa Ikulu kwa kufanya kitu ambacho mkuu wa nchi alishindwa kukifanya na kukiri kuwa hatuwajui Kagoda.
 
ulizaliwa mwaka gani!? ....wenzio wamesubiria kwa zaidi ya miaka 50 sasa. remember experience has taught us wisdom
Tusilaumu sana bila kujua dhumuni la kushikiliwa kwake na polisi.Inawezekana ni kwa usalama wake pia!Labda kuna taarifa mbazo TISS wamezipata zinazotishia usalama wake.Katika mazingira hayo lazima polisi imlinde hata kwa namna ambayo itaonekana ni kumkamata, kutokana na unyeti wa ushahidi alionao.Tuwe na subira mara nyingine.
mkuu unanikumbusha mwaka fulani pale Dr. Salmin Amour alivyopiga marufuku gazeti la Majira Zanzibar alafu akaambiwa watu wanasoma kupitia internet na ndipo aling'aka ..."na hiyo internet tutaipiga marufuku"!
wamemnyang'nya ule ushahidi alokuwa nao...............asihofu kila ktu tunacho huku maana nilisave ile doc yote........
 
Wanajuana hao wote..! Waacheni. Si ajabu wanahojiana huku mezani wana glasi ya maji ya bei mbaya... Aaaaaghh!!
 
MSEMAKWELI ana hulka za kupenda misifa....hizo ndo gharama zake. Hata mashabiki zake hapa JF wamejitenga naye....wanamwonea huruma kisanii kupitia keyboard.

wewe,jaykey, ritz,rejeao,ff na wengine wa jamii yako' mnaipenda ccm kama timu za mpira' hata ifungwe vyp mmpo tu.Japo mara moja moja muwe mnasema ukweli basi,hivi ccm imewafanya mpaka mmesahau kuwa Mungu yupo mpaka mnatetea tu maovu, anywayz ipo siku!
 
Asante na maneno yako tumeyasikia na tutayakumbuka wakati ukifika, lakini sasa Mpwa si afadhali mtupige hatabomu la nyuklia tufe tuwaondolee kiwingu basi mfaidi kuliko kutanyanyasa hivi? haya mwaya
mtapiga miayo mpaka meno yatachomoka
 
Back
Top Bottom