Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, Sep 2, 2011.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Taarifa zilizotufikia wakati huu ni kuwa yule jamaa 'aliyewalipua' Rostam, Manji na wenzao jana; kakamatwa na Polisi toka ofisi ya DCI (Manumba) na anaendelea kuhojiwa.

  Taarifa zinadai kuwa Msemakweli alielekea kwa DPP kama alivyoahidi hiyo jana kuwa angeenda kwake na kuambiwa kuwa appointment yake imesogezwa mpaka Jumatatu lakini akiwa njiani kurudi akakamatwa na maofisa wa polisi ambao mpaka sasa wanaendelea kumhoji.

  Hatujapata taarifa za nini amehojiwa na nani kamhoji. Tutaendelea kufahamishana kadiri muda utakavyoruhusu.

  Huu ni mwanzo tu, kuna mengine yatajiri muda si mrefu!

  KUMBUKA KAULI YAKE:
  UPDATES:

  Maelezo mapya:

  Msemakweli alikamatiwa ofisini kwa DPP. DCI Manumba alienda kwa DPP asubuhi akiwa na timu yake kisha Msemakweli alipofika na kuambiwa arudi Jumatatu akawakuta nje ya ofisi wakiwa wanamsubiria, akachukuliwa na kwenda naye Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani kwa DCI kabla ya kumchukua kwenda naye Mikocheni zilipokuwa ofisi za tume ya EPA.

  Update 1:
  Update 2:

  Msemakweli yupo huru kuongea na simu lakini si kama kaachiwa, mida hii (02:00PM) anaelekea kuandika maelezo.

  Update 3:

  Update 4:
  Msemakweli kaweka ngumu kuandika maelezo, kaachiwa... Atarudi Jumatatu kuweza kutoa ushirikiano kwa task force ya polisi inayofuatilia issue ya EPA.

  More updates coming
   
 2. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ameyataka mwenyewe, KUKURUPUKA NI KUBAYA!
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Si mchezo....
   
 4. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Anakamatwa mlalamikaji watuhumiwa wanapeta nchi hii inatia kinyaaa
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ni vizuri kukamatwa na kufungwa yeye maana ushahidi hana anakurupuka na kuchezea dola
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ZAwadi yake ndo kaipata :msela:
   
 7. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Looks like the Government is now returning to its previous style. Anyway, lets wait and see!!
   
 8. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #8
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Feleshi alikuwa anajizungusha kuhusu kuwashtaki hawa jamaa...kapelekewa ushahidi na bado anataka kumghasi raia mwema huyu.
  wanaostahili kukamatwa hawaoni?
   
 9. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #9
  Sep 2, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  duh! inadhihirika sasa kuwa serikali hii yote ni corrupt! yaani mtu anatoa taarifa za watu wanaohujumu uchumi wetu badala ya polisi kumlinda wao wanamtafuta wakamhoji? aisee!
   
 10. Mpendwa

  Mpendwa Member

  #10
  Sep 2, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeyote anayetetea maslahi ya taifa/wananchi ni mbaya!!!
  Nchi hii bwana!

  The sorrows may last for a night but His joy comes in the morning
   
 11. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo dola ndio iliyotuhumiwa hapa !! ama dola ipo kwa niaba ya watuhumiwa na hii imeanza lini ?
   
 12. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  which style are you taking about?

  Huyu msemakweli kakiuka sheria za nchi maana katuhumu huku hana ushahidi
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,052
  Trophy Points: 280
  Polisi wa Tanzania wanafanya kazi kama jibwa, wakiambia shika wana shika.
  Kweli polisi wetu vilaza.
   
 14. lukatony

  lukatony JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  na mimii mje mnikamate!!LOWASSA HAWI RAISI WA NCHI HII!LABDA NYUMBANI KWAKE KWA MKEWE!IPO SIKU YAJA MAGAMBA MTAKIONA CHA MOTO!
   
 15. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Amekubali kutumika Bila mipango kwa wanasiasa wenye kurushiana makombora katika Kambi mbili za GAMBA...Si mwanaharakati I HATE HIM
   
 16. M

  Mzee wa Posho Senior Member

  #16
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Itakua mahojiano tu ya kawaida,watamuachia na kuwasilisha ushahidi wake DPP! Nasikia Chadema wamemkasilikia sana Msemakweli kuwa amepola hoja yao ya Kagoda!
   
 17. Imany John

  Imany John Verified User

  #17
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Warangi bwana.
   
 18. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,768
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama jamaa amekurupuka, kama ana ushahidi TOSHA na kafanya utafiti wake wa kutosha huko si kukurupuka. Ngoja tuone yakifika mahakamani ila kila kitu kiwe hadharani. Jamaa ni SHUJAA fupa la Kagoda limewashinda wengi sana.

  Bora yeye Amesema ILI haki isije kumhukumu kama akiamua kufa nalo ndani ya moyo wake.
   
 19. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #19
  Sep 2, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  yale yale ya lema aliyoyasema kuwa polisi na usalama wa taifa ni mali ya mafisadi, bila watz kuamka na kudai uhuru wetu tumekwisha.
   
 20. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #20
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,052
  Trophy Points: 280
  Wewe ni CCM, unashabikia hapa wenzako kina Rostam wana neemeka bila shida.
   
Loading...