Msemaji wa Serikali umedanganya; tuzo ya Nobel haijaenda kwa Raia wa Tanzania

Prof. Gurnah aliyeshinda tuzo ya Nobel siyo raia wa Tanzania Kama serikali na viongozi wengi pamoja vyombo vya habari vilivyoripoti. Huyo ni raia wa Uingereza Mwenye asili ya Tanzania.

Msemaji wa Serikali hapaswi kuandika kwa kuangalia mitandao bali anapaswa kufanya utafiti. Haina haja kuwa na msemaji wa serikali na viongozi wa serikali wanaodanganya umma au kuripoti habari bila kujirizosha. Nadhani tuwe watu wakufanya utafiti.
Naunga mkono hoja, toka lini Tanzania ikawa na uraia pacha? huyu aliondoka nchini wakati hata Tanzania haijazaliwa na hakuna hata ambaye amewahi kumsikia akijinasibu kuwa yeye ni Mtanzania, kuna tofauti kati ya kuwa na asili ya kuzaliwa na kuwa raia wa nchi, kama ni hivyo basi itoshe tu kusema waarabu,wahindi, ambao wamehamia Tanzania lakini wana asili ya India na uarabuni ni raia wa India na nchi za Uarabuni
 
Na aliondoka Visiwani Zanzibar hata Lanka ya Muungano, Means Tanzania haikuwepo

Ma CCM yanapenda sifa za Kijinga sana
Haijui hata Tanzania ni nchi gani yeye anajua tu Zanzibar imepakana na Tanganyika upande wa magharibi.
 
Prof. Gurnah aliyeshinda tuzo ya Nobel siyo raia wa Tanzania Kama serikali na viongozi wengi pamoja vyombo vya habari vilivyoripoti. Huyo ni raia wa Uingereza Mwenye asili ya Tanzania.

Msemaji wa Serikali hapaswi kuandika kwa kuangalia mitandao bali anapaswa kufanya utafiti. Haina haja kuwa na msemaji wa serikali na viongozi wa serikali wanaodanganya umma au kuripoti habari bila kujirizosha. Nadhani tuwe watu wakufanya utafiti.
Ni tuzo ya kipumbavu kuliko zote, yaan wazungu sznakupa tuzo kwa kuitukanisha africa. Nimesikia wanaichambua tv moja maarufu niliyojifunza nimeidharau sana hii tuzo. Ndo tuzo inayotufanya africa kuwa wajinga maskini na wapumbavu tusiokuwa na msimamo
 
Mimi nachoshangaa kuna vyombo vya habari vya kimataifa vinasema huyu n mtanzania tena muafrika hii imekaaje jamani.
 
Mbona BBC pia wanasema ni Mtanzania, au mimi ndo sielewi.
Kwa hiyo Tanzania tuna uraia pacha? Kumbuka alikimbia Zanzibar akiwa kijana mdogo miaka ya sitini mwanzoni na kuingia Uingereza kama mkimbizi na sasa ni raia wa huko.
 
Sidhani kama aliwahi kubadili uraia huyu, hadi kuna mwaka aliwahi kuwa jaji wa shindano la mabati cornell info zake zote zilionyesha ni mtanzania kwenye tovuti yao. Huko Uingereza alienda kama mkimbizi tu
Screenshot_20211009-084050.jpg
 
Kuna watu humu wanamjua huyu Mzee kuliko yey mwenyewe anavyojijua,mwenyewe anajitambulisha km Mtanzania lkn humu jamvin wameamua kumpa uingereza mpaka waingereza wenyew wanashangaa
 
Elimu Zanzibar kabla na baada mapinduzi mbingu na ardhi. Elimu ya mkoloni ilizalisha wasomi wengi wanzanzibari wanaotambulika /walitambulika duniani, Huku pia mfujaji chama kikongwe alikuvuruga big time,
 
Prof. Gurnah aliyeshinda tuzo ya Nobel siyo raia wa Tanzania Kama serikali na viongozi wengi pamoja vyombo vya habari vilivyoripoti. Huyo ni raia wa Uingereza Mwenye asili ya Tanzania.

Msemaji wa Serikali hapaswi kuandika kwa kuangalia mitandao bali anapaswa kufanya utafiti. Haina haja kuwa na msemaji wa serikali na viongozi wa serikali wanaodanganya umma au kuripoti habari bila kujirizosha. Nadhani tuwe watu wakufanya utafiti.
Hata Wakenya Barack Obama alipokuwa Rais wa Marekani walisema Mkenya kawa Rais Marekani. Watani zangu Wajaluo ndio basi. Eti Jaluo amekuwa LAIS YA MALEKANI!
 
Kweli mnatuona machogo mazuzu kabisa. Abdulrazak Gurnah alizaliwa katika Sultanate ya Zanzibar ambayo ilikuwa ni Protectorate ya Uingereza. Hajawahi kuwa raia wa Oman. Aliondoka ( hakufukuzwa) Zanzibar mwaka 1967 kwa visa ya utalii ambayo alipewa na ubalozi wa Uingereza uliokuwa Dar es Salaam. Wakati anaondoka alikuwa amemaliza sekondari na alikuwa ameajiriwa kama mwalimu. Wakati anaondoka aliondoka kama raia wa Tanzania.

Kwa maelezo yake mwenyewe Mapinduzi yalikuwa na watu kutoka jamii zote. Anakumbushia Abdulrahman Babu alikuwa afisa mkubwa serikalini. Anakumbushia pia kuwa mke wa Karume alikuwa Mhindi. Anasema hali ilibadilika sana mwaka 1972 baada ya kuuawa kwa Karume, wakati huo tayari yuko Uingereza.

Kama kuna ubaya alifanyiwa yeye na jamii yake, alifanyiwa na wazanzibari wenzake na sio machogo. Ukweli nyinyi ndio mnatakiwa kumuomba radhi kwa ubaya na maovu mliomfanyia. Hii kumkumbatia sasa baada ya kumsulubu sana ni unafik wa hali ya juu. Lakini ukweli ni kuwa niliacha kushangazwa na kauli zenu miaka mingi iliyopita.

Amandla...

nondo za ukweli, agiza kinywaji popote ulipo nakuja kulipa.
 
Back
Top Bottom