Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,448
- 3,407
Msemaji wa Serikali, Mobhare Matinyi akiwa kwenye hafla za utoaji tuzo za Washindi wa Shindano la JamiiForums la Stories of Change zilizofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro amebainisha kuwa kazi kubwa atakayoifanya ni kuhakikisha Wananchi wanapataa taarifa
Amesema kuwa atahakikisha Wananchi wanapata taarifa kwa wakati na kujua nini Serikali yao inafanya na ina malengo gani lakini wakati huo huo Serikali kupata kujua Wananchi wanataka nini
Aidha, amebainisha pamoja na Rais Samia akusema kuwa amekuwa akisoma maoni yanayoandika kwenye kurasa za JamiiForums, yeye pia amefurahi kwani kila mtu anatoa maoni yake kwa uhuru kabisa au kwa kujiachia
Amesema kuwa moja ya sehemu muhimu wanayofutalia kujua ya kuwa Wananchi wanataka nini na Wana maoni gani ni JamiiForums
My take:
Wanajamvi tuendelee kutoa maoni yetu kwa moja na kuongea kwa uwazi bila kuvunja sheria wala kutukana mtu…wanasoma kumbe na naamini wanafanyia kazi