gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,892
- 5,946
Pia wamkumbushe na Nyalandu naye amuite aendelee na ubunge wake.Mkitaka kumjua vizuri huyo Msekwa kuwa anawaza pensheni yake tu, Muulizeni kuhusu Ndugai kumuita Mwambe aendelee na ubunge wakati tayari alishatangaza kuachana na CDM na kujiuzulu ubunge.