Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

hahaha daah huku madawa,huku daudi bashite,huku wema kuhamia chadema daahh hivi viwanda vinajengwa saa ngapi.nchi ya kusadikika hii.manji na tigo cjui napo vp kila siku vituko.watanzania tupo zaidi ya M40 tukaamua kumchagua huyu jamaa.kwl tunahitaji high canclng
 
Hahahahahahahaaaaaa. Chama Cha Demokrasia na Mateja!
Maneno ya mkosaji.Jana umepost Weka kavaa manguo ya kijani leo unamponda. CCM hamna maana nyie wema aliwasaidia sana mkashinda uchaguzi leo mna mbambikia kesi ya kuuza madawa.
 
yaani kuna mahali jana nimesoma Dar mnauziwa kilo ya maharage 3000 tsh na ( SEMBE ) Unga wa mahind 2000 tsh bado watu wanahis mambo yako powa mtanyooka tu

Mkuu Mimi Jana nimenunua maharage 2800!!!!!!bado mijingajinga inasema sisonje ni chaguo LA mungu,hii laana ya 25/10/2015 itasomesha namba,gharika limeanza kwa kuleta njaa na mvua kutokunyesha.muombeni mungu alete Catrina liifukie eneo lote LA feri
 
Kipindini cha Kampeni walikuwa na kiherehere kusimama majukwaani kutoa support kwa "kijani" leo ndo wanagundua that was crap.. warudi nyumbani kwao, tena siyo huyo tu, wooote! Ingawa ningewa-caution sana CHADEMA kuitoifanya hii ishu kama ni ya kisiasa. Kama wanataka kumpa support (Lisu being her Lawyer) iwe as professionalism na si kwasababu tu ku-attack upande wa pili, pia kama kweli Wema amehamia CHADEMA, uongozi should just take it kawaida, NOT a big deal. Si lazima kumtangaza..
Teh, kweli Chadema ni kokoro.

Yaani tu kisa aliisaidia ccm kwenye kampeni ndo tumwache avute bangi na madawa kama hayo?

Hilo ni kapi tu kama Lowasa. Hatutaki uchafu kwetu.

Tupa kule!
 
Chadema bana!

Nilitegemea Pembeni ya Mbowe angekuwa Lowassa nmeshangaa kumkuta Wema
 
Back
Top Bottom