Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,991
- 25,331
....Ewaaaaaaaa..... We umenena
.....visasi havitakiwi Tunajenga Taifa Moja
....Ewaaaaaaaa..... We umenena
hahahahahaaaaaa. Magufuli anajenga miradi mikubwa ndugu. Hahangaiki na akina Wema SepetuMkuu Mimi Jana nimenunua maharage 2800!!!!!!bado mijingajinga inasema sisonje ni chaguo LA mungu,hii laana ya 25/10/2015 itasomesha namba,gharika limeanza kwa kuleta njaa na mvua kutokunyesha.muombeni mungu alete Catrina liifukie eneo lote LA feri
....Welcome madam.... Feel at home!
Hahahahahahaaaaaa. Nami nlitegemea pembeni ya Mbowe angekaa Lilian MteiChadema bana!
Nilitegemea Pembeni ya Mbowe angekuwa Lowassa nmeshangaa kumkuta Wema
.....Chadema kwa nini kila kukicha mnazidi kuivua nguo Demokrasia na Upinzani wa Tanzania!? Leo hii kweli Mnashangilia Wema Sepetu kuhamia CHADEMA!? Inasikitisha.
Huna jipya zaidi ya kusema source...unapewa picha bado unataka source cjui source gani unataka..au lugha ndo inakusumbuasource plz
Mirad ipi iyohahahahahaaaaaa. Magufuli anajenga miradi mikubwa ndugu. Hahangaiki na akina Wema Sepetu
Hata wewe ukihamia tutashangilia usihofu... Njoo tuChadema kwa nini kila kukicha mnazidi kuivua nguo Demokrasia na Upinzani wa Tanzania!? Leo hii kweli Mnashangilia Wema Sepetu kuhamia CHADEMA!? Inasikitisha.