Yani picha ziko hapo afu unaomba source?source plz
CHADEMA wanachanganya 'unga' Na siasa !? Hivi hakuna mtu mwenye akili wa kumshauri Mbowe ?!CHADEMA kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe, baada ya kesi ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu leo, kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari na kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo msanii Wema Sepetu.
View attachment 473709
Mbowe na Lissu leo wanawasilisha ile hati ya mashitaka iliyorekebishwa na kumuongeza Mwanasheria Mkuu. Wema Sepetu yupo Katikati ya Esther Bulaya na Mbowe hii leo. Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura
View attachment 473719 View attachment 473718
Baada ya hapa Mbowe ataongea na Waandishi.
Ikumbukwe kwamba Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, jana alijitokeza mahakamani kuwa wakili wa Wema na wenzake wawili akiwamo mfanyakazi wa ndani. Msanii maarufu wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu anakabiliwa na kesi ya kukutwa na bangi. Kesi hiyo ya Wema iliahirishwa hadi Machi 15.
Zimefika mkuu, wewe uko wapi mkuu?.....
.....Mkuu wasalimie Gijedabung
ndiyo ujue usitukane mamba wakati haujavuka mto.Ila yale matusi kwa babu yangu LOWASA loh akamuombe radhi kwanza!! doh
Ila siasa mchezo mchafu sana...kuna la kujifunza hapa.
CHADEMA kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe, baada ya kesi ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu leo, kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari na kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo msanii Wema Sepetu.
View attachment 473709
Mbowe na Lissu leo wanawasilisha ile hati ya mashitaka iliyorekebishwa na kumuongeza Mwanasheria Mkuu. Wema Sepetu yupo Katikati ya Esther Bulaya na Mbowe hii leo. Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura
View attachment 473719 View attachment 473718
Baada ya hapa Mbowe ataongea na Waandishi.
Ikumbukwe kwamba Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, jana alijitokeza mahakamani kuwa wakili wa Wema na wenzake wawili akiwamo mfanyakazi wa ndani. Msanii maarufu wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu anakabiliwa na kesi ya kukutwa na bangi. Kesi hiyo ya Wema iliahirishwa hadi Machi 15.
mama sangara upo !! siasa haina mawazo mgando!! hakuna nafasi ndogo kwenye siasa !! hakuna mtu mdogo kwenye siasa !! mwanasiasa aliyekomaa hatakiwi kupoteza dakika moja pindi anapopata nafasi ya kuitumia!!Nadhani wangemshauri ajitafakari kwanza asijiingize kwenye siasa kwa sababu ya hasira
Vita dhidi ya ngada ni ya kisiasa.walipomtaja mbowe ndio walidhihirisha kuwa ni vita ya kisiasa.Bado nashindwa kuielewa CHADEM katika hili sakata la madawa.....
Nadhani think tank ya CDM kuna mahali inapwaya kimipango.....
Mimi sijaona sababu yoyote ya CDM haya masuala kuyafanya kuwa ni ya kisiasa......hasa ikiegemea upande wa watuhumiwa......
Suala la Lissu kumtetea Wema mahakamani lingefanywa na Lissu mwenyewe kama mwanasheria....na sio kulinasibisha na chama.....hii inaleta taswira mbaya ya chama kwenye jamii yenye fikra pana.....
Siamini kama CDM wamekosa ajenda za msingi za kujiimarisha mpaka wafikie hatua ya kurukia matukio yanayochota attention za watu....hata kama ni matukio yenye taswira mbaya mbele za jamii........
TUJISAHIHISHE
Vipi Iddi azzan na Manji nao watarudisha kadi za ccm?Ukitaka kujua panya aliyevamia nyumba yako katokea wapi mkimbize shimo atakaloingia ndio nyumba ya panya. Mafisadi wala unga nk wakikimbizwa wanarudi kwao Chadema
.....Zimefika mkuu, wewe uko wapi mkuu?
Dah... Kama Wema ndio anategemewa kwenye ushindi basi hicho chama ni mfu!Hivi unakumbuka ulipozaliwa Shangazi zako walivyosema wewe si wa kaka yao lakini mbona unadunda au umekuwa Liability kaka.?
Wema ni human Asset sio mwenzio anawafuasi kuliko unavyodhani ana karama ya ajabu
Kwa hili kwakweli japo kwa Chadema watapata watu wengi lakini kwa Wema bado sio good move- Masikini ya Mungu chama kinajimaliza pole pole maana sasa ni Official kuwa Chama cha Muungano wa Watuhumiwa wa Madawa ya Kulevya, saafi sana ngoja zije kampeni tuanze kazi this is the best weapon ever!!
le Mutuz
Wema naye ni Brand[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....
.....bradi hiyooooooooo Chadema
mkuu vipi Sports City Lounge ya mshikajio Juma Pinto siku hizi? nakumbuka wewe ulikuwa mdau mkubwa sana pale. pamoja na da "prince" mwenyewe....jana naona wanoko wa Jamhuri wamempaka!- So mnajitangaza kuwa ni Chama cha Madawa ya Kulevya? hahahahahahaah
le Mutuz