Picha linaendelea
Hata wakiunganishwa kwa welding, madawa ya kulevya tutayapinga kwa nguvu zote kuwa HAYAFAI KATIKA TAIFA LETU NA DUNIANI KWA UJUMLA
Mama yake nae namuona mahakamani mjini kweli kuna mambo!!huyu mama nae kahamia cdm?
Kwani unafikiri Wema ana akili nyingi kama zako? Hajaliona hilo uliloliona wewe. Subiri ajisahau wakam-lijualikali.Kulikuwa na haraka gani ya kujiunga Chadema? Si angesubiri mpaka kesi yake itolewe hukumu.
Au kasahau kwamba kuna style ya kukomoana inaendelea?
Kama wema ni brandi basi Chadema imefilisika.!...
....brandi zote mang'anya tunasomba mtabaki na magobogobo
Kwa maana yako mtu hawezi kuishi/kufanikiwa bila ya kuwa mwana'ccm???Huyo ana hasira tu, lkn hawezi kudumu chadema hata siku moja, kama Msanii Tanzania hawezi kuwa nje ya CCM na kutoboa, ni swala la muda tu hata yule Jackline Wolper Masawe naye alienda chadema alivyomaliza kutumika na chadema wakamtupa, akajifunza na karudi CCM!
Kwa kifupi wanatumika chadema kama karatasi choo tu, lkn muda siyo mrefu mtasikia Wema karudi Chama Dola!
J.Wolper Masawe juu alivyokwenda chadema, chini amerudi chama Dola!
![]()
.....Ndo manake!
.....Karibuni sana chadema tunawapokea kwa mikono miwili
Kila mtu aishi maisha anayoyakaKulikuwa na haraka gani ya kujiunga Chadema? Si angesubiri mpaka kesi yake itolewe hukumu.
Au kasahau kwamba kuna style ya kukomoana inaendelea?
Ccm wamezoea kuhonga wanaume na wanawake mjini na Vijijini.Audio ya Mama wema na steve nyerere imetoa siri ya haya, so hatushangai.
Kalipwa kujiunga kuwa na wana chadema.