Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

halafu utasikia BAVICHA wanakwambia wema anaonewa kwa sababu ni CDM
 
- HAHAHAHAHAHAH hahahahahaha hicho chama huwa hakina washauri kabisa, seriously wameona Mwenyekiti anayetuhumiwa na mambo ya Madawa ya Kulevya kuwa na aliyekamtwa nayo ni good PR for National Politics? hahahahahahhaa God help me please!! Lord Have Mercy

le Mutuz
Wee mzeee acha unafiki....!!najua ume panic..japo mimi c mwana cdm ilaa povu linakutokaa....coz najua wema alikua swaiba wako..
 
Hiki ninachokiona ni kweli au kiki za misimu?
3d7af1a513fd89704b8c034d1174311d.jpg
 
Changamoto mda mwingine zinamfanya mtu anakua kiakili na kiroho pia.
 
Bado nashindwa kuielewa CHADEM katika hili sakata la madawa.....

Nadhani think tank ya CDM kuna mahali inapwaya kimipango.....

Mimi sijaona sababu yoyote ya CDM haya masuala kuyafanya kuwa ni ya kisiasa......hasa ikiegemea upande wa watuhumiwa......

Suala la Lissu kumtetea Wema mahakamani lingefanywa na Lissu mwenyewe kama mwanasheria....na sio kulinasibisha na chama.....hii inaleta taswira mbaya ya chama kwenye jamii yenye fikra pana.....

Siamini kama CDM wamekosa ajenda za msingi za kujiimarisha mpaka wafikie hatua ya kurukia matukio yanayochota attention za watu....hata kama ni matukio yenye taswira mbaya mbele za jamii........

TUJISAHIHISHE
 
Enzi za kulindana zimeisha, now ni Sheria zinafuata mkondo, hongera Wema Sepetu, lakini kumbuka ukiwa na hatia Sheria itafuata mkondo tu
 
Kila anayekutwa na kosa upande ule anakimbilia upande mwingine ina maana huko chadema madawa ya kulevya sio tatizo!!muwe mnachuja watu wa kuwapokea
 
Mh Mbowe unampokeaje Wema Sepetu wakati unajua kuwa atarudi CCM na kuendelea kuinanga CHADEMA? ifike wakati ujipime kama bado unafaa kuwa mwenyekiti. Siasa za kuwapamba watu wakijiunga na CHADEMA na kuwaponda siku wakirudi CCM, hazikisaidii chama.
 
Abaki hukohuko kwa wapiga dili,chadema hatuhitaji watu wa aina yake
 
Back
Top Bottom