Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Afanye uhalifu wa kuvuta bange halafu eti ajitoa CCM..nyoo mwache aende. Na mateja wote waende CDM
Mkuu zaidi ya 75% watanzania ni mateja ila wanatofautiana na uteja wa aina ipi,sasa hawa ndo waloichagua CCM,2020 wakiamua CCM chali.ukitaka kujua ukweli nenda mtafute daktari wa vichaa akupe somo
 
Huna jipya zaidi ya kusema source...unapewa picha bado unataka source cjui source gani unataka..au lugha ndo inakusumbua
mkuu mbona povu, shida ni nini? wewe huoni kama mimi ni wa kwanza kureply na mda huo picha zilikuwa bado hazijawekwa, sasa mimi kuliza source ya habari ni kosa? embu jaribu kuficha ujinga wako japo kidogo utaheshimika.
 
Anaigiza au? Wema anafundishwa jinsi ya kuingia mahakama? Kofia kavuliwa
 
Huyu wema sepetu leo anaonekana kuwa ni mtu wa maana chadema? toka lini wema alikuwa na akili timamu? leo aonekane anaweza ungwa chadema? hivi mmemuhoji ni kwa nini kajiunga chadema? kwa sababu ya kashfa ya madawa ya kulevya? mwaka 2015 si alizunguka nchi nzima akiiponda chadema na mgombea wake? kesho lusinde akitaka kujiunga chadema mtamuunga?

lazima ifikie hatua kuwe na standards za watu kujiunga chadema. kweli nawaambia najua mtanitukana na kunichukia lakini leo hii wema kugeuka lulu kisiasa ni mmoja ya mipango dhaifu ambayo mimi binafsi imenifanya nijisikie vibaya. huyo dada hana maadili mazuri kila kashfa anayo mnadhani akiwa kwenu atabadilika? trust me akija rais mwingine ambaye atamlegezea masharti atarudi CCM. wema huwezi mweka kundi moja na akina mdee, na wapambanaji kadhaa wa ukweli. ni kuwadhalilisha hawa wapambanaji kwa hadhi zao.

ni sawa leo kwenda kumuoa mke ambaye miaka yote alikuwa hakutaki lakini baada ya kuwa mume kamchoka kwa uhuni wake na uchafu kaamua kumshughulikia naye mke kwa kuwa hapendi kuoga na kutulia anasema ni bora aje kwako maana wewe ulikuwa unamtetea pamoja na uchafu wake na uzinzi. unashangilia ukamsahau mkeo aliyedumu nawe kwa miaka mingi akiwa mke mwema.

suala la wema kuungwa chadema litaleta msuguano mkubwa hapo mbeleni unless otherwise kuwe na watu kadhaa wenye maslah naye akama alivyokuwa akitumika huko CCM. si ajabu hata kwa sasa watu wakaanza kumshauri Manji ahamie CHADEMA. kweli nawambia muda si mrefu kitaonekana ni chama kinachochukua waovu wa ccm. wauza na watuhumiwa wa madawa na pia mafisadi.

chama kiendelee kubaki na heshima msitake kila mtu achukuliwe kuwa chadema. ccm wanafanya usafi hata kama ni kinafiki basi msiende kuokota yale mauchafu wanayoyatupa mkaona mmepata kivuno.

waswahili wanasema "GANDA LA MUA LA JANA, CHUNGU KAONA KIVUNO"
 
Hili Suala Liko Very Strategic Kama Mnavyojua Wema Ana Influence kubwa Sana Kwenye Jamii Hasa Kwa Wadada<Masister Duu> so Ni kama Wamehamia Nae Huku CHADEMA hii inatuongezea sana Nguvu na By 2020 Hakika CCM itaondoka Mapema Kama Vumbi la Mpunga.

Nakala-Ufipa
usitake kunambia wema sepetu ana nguvu kubwa ya ushawishi kuliko mh lowassa na sumayi...???
 
Angesubiri kesi iishe ndiyo ajiunge. Nchi zetu zenye kangaroo courts, hazitabiriki!
 
Angesubiri kesi iishe ndiyo ajiunge. Nchi zetu zenye kangaroo courts, hazitabiriki!
 
Hili game linavyochezwa...!? kha..! hata chadema kindaki ndaki wala hawastuki...kuwa chama kwishnei!
NDO NIMEJIULIZA!
NANI MWENYE AKILI KISIASA ANATAKA KUWA KARIBU NA HII KITU?

SUALA LA WEMA KUGOMBEA UBUNGE,kuwa kwenye timu ya makamu wa rais na kuweeemo kwenye list lilikuwa ni doa kwa chama!
NANI ANGESUBIRI KUWAZA KUSUKUMIZA ZIGO THE OTHER SIDE?
NA THE OTHER SIDE WANAPIGA NA SELFIE!?
kwa shida ipi ya attention wanayoihitaji kiasi kuwe na umuhimu wa japo kuvuta watu miktano ya kampeni?
KATIA VITU NILIKATAA KUVIELEWA KWENYE SIASA ZA NCHI HII NI HIVI!

LIKE SERIOUSLY?
 
Hap ndipo chadema wanaponiudhi!
Mtu anakudhalilisha bado unampokea,tena mtu mwenyewe ni msanii aliyezoea kuishi kwa hela,
Akishinda kesi lazima arudi ccm na atawatukana sana,
si watampa hela? Nyie mnazo?
Jiandaeni kutukanwa siku wakimpokea kamati kuu ya ccm kama ng'ombe aliyekatwa mkia
 
Back
Top Bottom