Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,982
- 127,446
Na mimi ndo nimeshangaa kumbe CCM kuna shibe[emoji23] [emoji23] nilivyo na njaa ngoja nikachukue kadi fastaKwahiyo CCM kuna maslahi??
Na mimi ndo nimeshangaa kumbe CCM kuna shibe[emoji23] [emoji23] nilivyo na njaa ngoja nikachukue kadi fastaKwahiyo CCM kuna maslahi??
Thats nosense next time ...stretch your mind ...before yo put your comment otherwise u will find yourself naked- Masikini ya Mungu chama kinajimaliza pole pole maana sasa ni Official kuwa Chama cha Muungano wa Watuhumiwa wa Madawa ya Kulevya, saafi sana ngoja zije kampeni tuanze kazi this is the best weapon ever!!
le Mutuz
Hizo bei sehemu gani mkuu? Kinondoni kwetu maharage kilo 1800 na mchele kuanzia 1600-2000 kwa kiloyaani kuna mahali jana nimesoma Dar mnauziwa kilo ya maharage 3000 tsh na ( SEMBE ) Unga wa mahind 2000 tsh bado watu wanahis mambo yako powa mtanyooka tu
Source ipi tena unayotaka mkuusource plz
Hili ni kweli ukiwa na KESI MAHAKAMANI hata kama yakuanua Nguo kwa Jirani usiidharau halafu mazingira ya Mahakama ya sasa ni magumu yanaendeshwa kutoka Muhimili Mwingine....LEMA anasota JELA sikwamba hana HAKI Ila watawala wameamua aishi huko....
Wametokea walipokuwa wamefichwa kwa muda mrefuWahalifu wote naona wanakimbilia kwenye pango lao maalum
.....Hili Suala Liko Very Strategic Kama Mnavyojua Wema Ana Influence kubwa Sana Kwenye Jamii Hasa Kwa Wadada<Masister Duu> so Ni kama Wamehamia Nae Huku CHADEMA hii inatuongezea sana Nguvu na By 2020 Hakika CCM itaondoka Mapema Kama Vumbi la Mpunga.
Nakala-Ufipa
imekaa vizuri hiyo.Good Riddance...ccm haihitaji wauza unga wanaotaka kulindwa na chama kuendesha udhalimu wao.
Chama la wanaaaaaa!!!!Mlikua mnaambiwa ccm ina wenyewe mkawa mnabisha,karibu chama cha wanachi
Kipindini cha Kampeni walikuwa na kiherehere kusimama majukwaani kutoa support kwa "kijani" leo ndo wanagundua that was crap.. warudi nyumbani kwao, tena siyo huyo tu, wooote! Ingawa ningewa-caution sana CHADEMA kuitoifanya hii ishu kama ni ya kisiasa. Kama wanataka kumpa support (Lisu being her Lawyer) iwe as professionalism na si kwasababu tu ku-attack upande wa pili, pia kama kweli Wema amehamia CHADEMA, uongozi should just take it kawaida, NOT a big deal. Si lazima kumtangaza..
Mkuu Wema ni liability kama alivyosema mkuu hapo juu, hufahamu vigogo wangapi walipumzika hapo na ana siri za serikali, is a matter of time.Kulikuwa na haraka gani ya kujiunga Chadema? Si angesubiri mpaka kesi yake itolewe hukumu.
Au kasahau kwamba kuna style ya kukomoana inaendelea?
Kwa mawazo ya Wema Sepetu anaona ALIONEWA na hivyo kuwa na kinyongo na Kijani.CHADEMA kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe, baada ya kesi ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu leo, kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari na kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo msanii Wema Sepetu.
View attachment 473709
Mbowe na Lissu leo wanawasilisha ile hati ya mashitaka iliyorekebishwa na kumuongeza Mwanasheria Mkuu. Wema Sepetu yupo Katikati ya Esther Bulaya na Mbowe hii leo. Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura
View attachment 473719 View attachment 473718
Baada ya hapa Mbowe ataongea na Waandishi.
Ikumbukwe kwamba Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, jana alijitokeza mahakamani kuwa wakili wa Wema na wenzake wawili akiwamo mfanyakazi wa ndani. Msanii maarufu wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu anakabiliwa na kesi ya kukutwa na bangi. Kesi hiyo ya Wema iliahirishwa hadi Machi 15.
Cdm tunawapokea.......nyie imbeni taarabu tuGood Riddance...ccm haihitaji wauza unga wanaotaka kulindwa na chama kuendesha udhalimu wao.
- HAHAHAHAHAHAH hahahahahaha hicho chama huwa hakina washauri kabisa, seriously wameona Mwenyekiti anayetuhumiwa na mambo ya Madawa ya Kulevya kuwa na aliyekamtwa nayo ni good PR for National Politics? hahahahahahhaa God help me please!! Lord Have Mercy
le Mutuz
Huu ni ukweli ila nisome tena kwenye ile Sentence nilikuwa namaanisha niniMahakama na Jela ni vitu vya kawaida sana kwa watetezi.
Soma historia utaona hiki kinachofanyika ni kitu cha kawaida sana lakini mwisho wake ndio huwa mzuri sana.