Wycliff_Lowassa
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 436
- 611
Haya Safari Njema lakini msirudi mkasingizia Mambo ya Tume sijui Katiba! [emoji12] [emoji12]
Tume Huru ya Uchaguzi Is Our Next Move.
Haya Safari Njema lakini msirudi mkasingizia Mambo ya Tume sijui Katiba! [emoji12] [emoji12]
Tume Huru ya Uchaguzi Is Our Next Move.
NDO NIMEJIULIZA!
NANI MWENYE AKILI KISIASA ANATAKA KUWA KARIBU NA HII KITU?
SUALA LA WEMA KUGOMBEA UBUNGE,kuwa kwenye timu ya makamu wa rais na kuweeemo kwenye list lilikuwa ni doa kwa chama!
NANI ANGESUBIRI KUWAZA KUSUKUMIZA ZIGO THE OTHER SIDE?
NA THE OTHER SIDE WANAPIGA NA SELFIE!?
kwa shida ipi ya attention wanayoihitaji kiasi kuwe na umuhimu wa japo kuvuta watu miktano ya kampeni?
KATIA VITU NILIKATAA KUVIELEWA KWENYE SIASA ZA NCHI HII NI HIVI!
LIKE SERIOUSLY?
Sasa si mumsajili Ramadhan Kailima?
Nimeipenda hii kamanda...
....Chadema.Baba la Taifa
Waacheni Watoto.waje kwangu maana Ufalme wa Taifa ni wao
YES !KABISA!Mwenye macho na aone
Kuna upande umeanza kuushinda upande mwingine kwa kuuambukiza upande huo tabia zake,...watu wanatolewa kwenye misingi yao na kufanywa waonekane ni walewale...kwa kifupi kinachoendelea ni kuifanya "thidiem" ifanane na "thithiem" kesho tukisimama ulingoni watu wasione tofauti kati ya A na B...B akisema A ananuka harufu mbaya basi watu watamshangaa B kwa kuwa naye ananukia vivohivyo!
TIME SAYS ALL.
Karibu Wema Sepetu, ila kumbuka huku tulipo cc ni zaid ya wakimbizi ingawa tupo ndani ya nchi yetu, muda wowote utapigwa mabomu ya machoz, utakamatwa na kusekwa lupango na hakuna dhamana, Mzee Lowasa naona sasa amezoea maisha ya huku kwetu, ni maisha mazuri yasiyo na stress sana sema tumenyimwa uhuru wa kuongea chochote na wenye nchi yao kuliko huko unapotoka. Karibu sn huku ndipo walipo wanaojitambua.
Hiyo picha anabembea au ndo arosto.
YANI NIMECHOKAAAAA!Ha ha ha, jamani tuacheni na chama chetu, sisi ndo tunaamua nani msafi nani mchafu!
Tunakuchafua kwenye List of Shame - List ya Mafisadi, tukikupokea tunakusafisha na tunakupa kugombea Urais, tunasema wewe siyo fisadi ila ni mfumo tu.
Kwa hiyo hata wazee wa nganda tukitaka tunawachukua na tunasema ni mfumo tu.
Labda atapewa nafasi ya viti maalum,kwani alitegemea CCM ingemteua lakini walipotezeaKwahiyo hatagombea jimboni kwa lissu? Hawa jamaa wajanja sana, na akichukua form wanamtimua.
Kwa sababu yupo Chadema ama hata wakati akiwa Ccm? Waliompa kazi ya kampeni akiwa Ccm unawazidi uelewa?Dah... Kama Wema ndio anategemewa kwenye ushindi basi hicho chama ni mfu!
Hivi ulishawahi kuwaona wafusi wa wema?
Yani wale katima 100 wapiga kura ni mmoja.
Kama yapi ayo maswala machafu kajiusisha nayo mbowe.Kwa hiyo Mbowe akawa anajihusisha na maswala mengine machafu....na kujificha kwenye Siasa....
Au ukishakuwa upande wa CDM automatically wewe ni mtakatifu.....!!???