Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Makundi mengi yameguswa na HALI NGUMU ya uchumi.. nasisitiza Uchaguzi ujao utanoga kweli cos hao wizi wanaotumika kuibia kura ccm nao wapo hoi hawana hamu nayo.. zaidi wa BUKOBA
 
Tuliyasema kwamba bwana fulani anaiangamiza ccm sasa yanatokea
 
Wema amewahi kukaa pembeni ya mama Samia mwezi mzima mbona hukushangaa?

Lowassa asingekuwa Mtuhumiwa wa Ufisadi asingehamia Chadema.

Wema asingekuwa Mtuhumiwa wa Matumizi ya Dawa za Kulevya Leo hii asingeteuliwa kumsindikiza Mwnykt kwny Kesi ya Kikatiba!
 
Hili ni kweli ukiwa na KESI MAHAKAMANI hata kama yakuanua Nguo kwa Jirani usiidharau halafu mazingira ya Mahakama ya sasa ni magumu yanaendeshwa kutoka Muhimili Mwingine....LEMA anasota JELA sikwamba hana HAKI Ila watawala wameamua aishi huko....
Tutamchagua Lema kuwa mbunge hata kama yupo jela
 
Hili Suala Liko Very Strategic Kama Mnavyojua Wema Ana Influence kubwa Sana Kwenye Jamii Hasa Kwa Wadada<Masister Duu> so Ni kama Wamehamia Nae Huku CHADEMA hii inatuongezea sana Nguvu na By 2020 Hakika CCM itaondoka Mapema Kama Vumbi la Mpunga.

Nakala-Ufipa
 
i hope huko ndo sehemu safe kwake ....lkn kwa ccm ya sasa hana nafasi....
 
Kwa nini Mbowe anaua CDM na watu wanamchekea tuu. Yaani mi sielewi. Some of us are dying for strong opposition, but alas!
 
Chadema bwana, hiki chama sijui kimejengwa katika misingi gani, naona kinakuwa zoazoa...
 
Kipindini cha Kampeni walikuwa na kiherehere kusimama majukwaani kutoa support kwa "kijani" leo ndo wanagundua that was crap.. warudi nyumbani kwao, tena siyo huyo tu, wooote! Ingawa ningewa-caution sana CHADEMA kuitoifanya hii ishu kama ni ya kisiasa. Kama wanataka kumpa support (Lisu being her Lawyer) iwe as professionalism na si kwasababu tu ku-attack upande wa pili, pia kama kweli Wema amehamia CHADEMA, uongozi should just take it kawaida, NOT a big deal. Si lazima kumtangaza..
Wasipo mtangaza naacha Chuo sisomi tena
 
Back
Top Bottom