Kitambo nilikuwa naamini mageuzi na upinzani. Ila kwa sasa nimebaki kuwa MTANZANIA MZALENDO. Mambo ya ushabiki wa Vyama vya Siasa yalinishinda.Hata wewe ukihamia tutashangilia usihofu... Njoo tu
Kitambo nilikuwa naamini mageuzi na upinzani. Ila kwa sasa nimebaki kuwa MTANZANIA MZALENDO. Mambo ya ushabiki wa Vyama vya Siasa yalinishinda.Hata wewe ukihamia tutashangilia usihofu... Njoo tu
Hili Suala Liko Very Strategic Kama Mnavyojua Wema Ana Influence kubwa Sana Kwenye Jamii Hasa Kwa Wadada<Masister Duu> so Ni kama Wamehamia Nae Huku CHADEMA hii inatuongezea sana Nguvu na By 2020 Hakika CCM itaondoka Mapema Kama Vumbi la Mpunga.
Nakala-Ufipa
Mtaongea kila kitu leo.isije kuwa Wema alikuwa mbeba mzigo wa Mbowe maana wote wanatuhumiwa mbowe aweza kuwa tajiri mwenye Mali mwingine mbeba mzigo
Ndio maana kesi ya wema inatofauti na ya TID, mmoja mtumiaji, mwingine mbebaji. Ana bahati hawajamkutwa na mzigo lakini shahidi anaweza kutokewa mahali popote akasema nimemuona.isije kuwa Wema alikuwa mbeba mzigo wa Mbowe maana wote wanatuhumiwa mbowe aweza kuwa tajiri mwenye Mali mwingine mbeba mzigo
CHADEMA kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe, baada ya kesi ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu leo, kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari na kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo msanii Wema Sepetu.
View attachment 473709
Mbowe na Lissu leo wanawasilisha ile hati ya mashitaka iliyorekebishwa na kumuongeza Mwanasheria Mkuu. Wema Sepetu yupo Katikati ya Esther Bulaya na Mbowe hii leo. Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura
View attachment 473719 View attachment 473718
Baada ya hapa Mbowe ataongea na Waandishi.
Ikumbukwe kwamba Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, jana alijitokeza mahakamani kuwa wakili wa Wema na wenzake wawili akiwamo mfanyakazi wa ndani. Msanii maarufu wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu anakabiliwa na kesi ya kukutwa na bangi. Kesi hiyo ya Wema iliahirishwa hadi Machi 15.
Nisome tena nilichomaanisha.....huenda ukanielewaTutamchagua Lema kuwa mbunge hata kama yupo jela
Hoja yako haina mashiko kwani Wema hatumii hayo madawa na kama ni mirungi au bangi hiki si kitu cha ajabu.alikuwa ccm, tukaishi naye vizuri, na hatukujua kama anajihusisha na madawa, sasa tumejua tumemshughulikia aende kwa wauza ngada wenzie..
chama cha democrasia na madawa..
naomba ujikite kwenye madaYani picha ziko hapo afu unaomba source?
Jina lako umeshaliona kule tcu lakini?
Kamanda Wema katika ubora wake Chamani.
Pembeni kwa mbowe binafsi nilitarajia akae Mama Mbowe au Joyce Mukya sio lowasa wala Wema SepetuChadema bana!
Nilitegemea Pembeni ya Mbowe angekuwa Lowassa nmeshangaa kumkuta Wema
Mkuu nimekuelewa sana mkuuNisome tena nilichomaanisha.....huenda ukanielewa