Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Ukiona Mayowe mengi ujue kuna MTU kaumia sasa....nyie wa Lumumba mnawaombea kila siku wa Ufipa waharibikiwe ili Kibaki chama chenu sasa Nafasi zakuharibikiwa zinapatikana mnamwaga OMO hapa sibure iko namna...
.....
.....wale majani ya mipapai.watoe povu jingi zaidi
 
Kweli Kitila Mkumbo hakukosea kwenye ile makala yake ya The rise of CCM and shrinking of CHADEMA wakati wenzao wanamteua Polepole kuwa katibu wa itikadi na uenezi CHADEMA wanamsajili Sepenga[emoji23][emoji23][emoji23]
Akae akijua huko hakuna makeup muda wowote difenda linatinga[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Huwezi kumzuia mtu kujiunga na chama lako, labda kama hauna lengo la kuongeza wafuasi. Lakini kila mtu aadhibiwe kwa matendo yake, asitafute kichaka
 
Wema anafanya mzaha Na kesi ,asubiri siku ya hukumu kama hajalia !
Hili ni kweli ukiwa na KESI MAHAKAMANI hata kama yakuanua Nguo kwa Jirani usiidharau halafu mazingira ya Mahakama ya sasa ni magumu yanaendeshwa kutoka Muhimili Mwingine....LEMA anasota JELA sikwamba hana HAKI Ila watawala wameamua aishi huko....
 
Wao wanadhani wamepata, kumbwe mwenzao ameona fursa ya viti maalum.
 
Kipindini cha Kampeni walikuwa na kiherehere kusimama majukwaani kutoa support kwa "kijani" leo ndo wanagundua that was crap.. warudi nyumbani kwao, tena siyo huyo tu, wooote! Ingawa ningewa-caution sana CHADEMA kuitoifanya hii ishu kama ni ya kisiasa. Kama wanataka kumpa support (Lisu being her Lawyer) iwe as professionalism na si kwasababu tu ku-attack upande wa pili, pia kama kweli Wema amehamia CHADEMA, uongozi should just take it kawaida, NOT a big deal. Si lazima kumtangaza..
Words
 
yaani kuna mahali jana nimesoma Dar mnauziwa kilo ya maharage 3000 tsh na ( SEMBE ) Unga wa mahind 2000 tsh bado watu wanahis mambo yako powa mtanyooka tu
Si mliambiwa na mkulu kuwa ukiona bei ya vyakula iko juu mkalime hamjaelewa, sasa ni zamu ya wakulima wanaojua kuhifadhi chakula.
 
upload_2017-2-23_14-27-27.png
 
Mkuu huyu dada katumika sana ndani ya ccm sasa leo kutoka shida nini bhana mbona alipokuwa ccm hamkuongea?
alikuwa ccm, tukaishi naye vizuri, na hatukujua kama anajihusisha na madawa, sasa tumejua tumemshughulikia aende kwa wauza ngada wenzie..
chama cha democrasia na madawa..
 
Huwezi kumzuia mtu kujiunga na chama lako, labda kama hauna lengo la kuongeza wafuasi. Lakini kila mtu aadhibiwe kwa matendo yake, asitafute kichaka
Huu ndo usajili wa kumtoa JPM madarakani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom