Msanii gani hata show iwe bure huendi

Msanii gani hata show iwe bure huendi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,712
Reaction score
57,223
Nitajie wasanii bongo ambao hujawahi kuwaelewa yaani hata show yake ije na uambiwe uende unapewa posho ya 5000 na kiingilio bure wewe bado hutaenda kwa sababu hawana kipaji wamebebwa Tu na upepo..

Mimi ambao siwakubali JAPO kuna baadhi ya hits wametoa nzuri
1.tunda man
2.ney wa mitego
3.dogo janja
 
Mangwea.
 
Kampeni za siasa na msanii wa aina Yoyote siwezi kuangalia .. Utapeli mwingine ni hawa wanasiasa ,wanapokuja na kik za kuongea live kwenye mitandao..Kiufupi,sipendi mambo ya umbea na kufuatilia maisha ya wengine.
 
Nitajie wasanii bongo ambao hujawahi kuwaelewa yaani hata show yake ije na uambiwe uende unapewa posho ya 5000 na kiingilio bure wewe bado hutaenda kwa sababu hawana kipaji wamebebwa Tu na upepo..

Mimi ambao siwakubali JAPO kuna baadhi ya hits wametoa nzuri
1.tunda man
2.ney wa mitego
3.dogo janja
Mimi kama nipo karibu na ukumbi wanakofanyia show na sina michongo mingine nitaenda ili kuchukua hiyo 5000 kama inagaiwa mara tu ukiingia ndani, kisha show ikishaanza natoka nje kama vile nina dharula na ndio hawanioni tena. Ila kama itakuwa inagaiwa mwisho wa show, basi sitaenda kabisa.
 
Back
Top Bottom