Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,798
- 71,218
Awamu ya tano kuliibuka jina mashuhuri sana majukwaani, mitandaoni, Radio na TV na hata mitaani yaani MABEBERU.
Sikujua kuwa majina nayo yana kufa kama wafavyo watu au watu wana kufa na majina/maneno yao?
Sasa hakuna mahali linasemwa tena jina hilo wala wale waliitwa vibaraka wa mabeberu hawaitwi tena.
Sio majukwaani, bungeni wala vikao vya CCM huwezi kusikia maneno hayo tena, MABEBERU.
Je, Mabeberu wamekufa kama alivyo ondoka aliyekuwa anapenda kuwaita?