Msamiati wa 'Mabeberu' umefia wapi?

Awamu ya tano kuliibuka jina mashuhuri sana majukwaani, mitandaoni, Radio na TV na hata mitaani yaani MABEBERU.

Sikujua kuwa majina nayo yana kufa kama wafavyo watu au watu wana kufa na majina/maneno yao?

Sasa hakuna mahali linasemwa tena jina hilo wala wale waliitwa vibaraka wa mabeberu hawaitwi tena.

Sio majukwaani, bungeni wala vikao vya CCM huwezi kusikia maneno hayo tena, MABEBERU.

Je, Mabeberu wamekufa kama alivyo ondoka aliyekuwa anapenda kuwaita?
Nchi yetu ni ya kijinga sn, huwa tunafuata mtawala anapenda nini na siyo wananchi wanataka nini
 
Ndio wameshika nchi kwa sasa. Uliona wapi kahaba anamiliki bar kisha makahaba wakafukuzwa eneo la bar?
 
Awamu ya tano kuliibuka jina mashuhuri sana majukwaani, mitandaoni, Radio na TV na hata mitaani yaani MABEBERU.

Sikujua kuwa majina nayo yana kufa kama wafavyo watu au watu wana kufa na majina/maneno yao?

Sasa hakuna mahali linasemwa tena jina hilo wala wale waliitwa vibaraka wa mabeberu hawaitwi tena.

Sio majukwaani, bungeni wala vikao vya CCM huwezi kusikia maneno hayo tena, MABEBERU.

Je, Mabeberu wamekufa kama alivyo ondoka aliyekuwa anapenda kuwaita?
Mkuu hivi unaweza kuukata mkono unaokulisha?
 
Kwani Kabudi nae kaondoka?
Kama upo aulizwe
JamiiForums-71234489.jpg
 
Back
Top Bottom