Msamiati wa 'Mabeberu' umefia wapi?

Awamu ya tano kuliibuka jina mashuhuri sana majukwaani, mitandaoni, Radio na TV na hata mitaani yaani MABEBERU.

Sikujua kuwa majina nayo yana kufa kama wafavyo watu au watu wana kufa na majina/maneno yao?

Sasa hakuna mahali linasemwa tena jina hilo wala wale waliitwa vibaraka wa mabeberu hawaitwi tena.

Sio majukwaani, bungeni wala vikao vya CCM huwezi kusikia maneno hayo tena, MABEBERU.

Je, Mabeberu wamekufa kama alivyo ondoka aliyekuwa anapenda kuwaita?
Acha kudemka. Ndiyo neno la mujini. Sasa wewe endelea kudemka
 
😆😆😆 Wakijibu nistue mkuu
 
Wanatamani reli, ndege, mabarabara, mahospitali wayafunge lakini haiwezekani

Magufuli aliwagaragaza akiwa Hai na atawagaragaza akiwa mauti.
Kina nani hao? Hivi unajitambua kweli? Mtu unaanzishi mradi wa Reli amakukopesha pesa kufanikisha huo mradi, inakuwaje eti useme anauchukia huo mradi wako na hapendi ufanikiwe?
Hivi mwendazake aliingia vichwani mwenu na kuondoa ubongo na kuutupilia mbali?
 
Acha kudemka. Ndiyo neno la mujini. Sasa wewe endelea kudemka
Nipe clip moja tuu ikionyesha Mama Samia akilitamka neno hilo tokea ameapishwa kuwa Rais.
Maana mwenda zake katika mkutano mmoja alikuwa lazima alitaje hata mara 80
 
Mabeberu ni msamiati ulioibuka miaka ya kusaka uhuru na sio awamu ya tano.acha kupotosha umma
Kila siku naamini wewe ni mtu wa hovyo sana.
Ulishawahi tetea mpaka uporaji wakorosho huko kusini ukituita MAKANGOMBA.
Kiko wapi sasa KAFA NA KABURI LAKE LIPO KWENYE UZIO WA MABATI HAKUNA MLINZI WALAA KIFARU.
KAMFUFUE
 
1621074164918.png
'ata Kabugi nae hataki kusikia hivyo sijui vya MABEBERU!
 
Awamu ya tano kuliibuka jina mashuhuri sana majukwaani, mitandaoni, Radio na TV na hata mitaani yaani MABEBERU.

Sikujua kuwa majina nayo yana kufa kama wafavyo watu au watu wana kufa na majina/maneno yao?

Sasa hakuna mahali linasemwa tena jina hilo wala wale waliitwa vibaraka wa mabeberu hawaitwi tena.

Sio majukwaani, bungeni wala vikao vya CCM huwezi kusikia maneno hayo tena, MABEBERU.

Je, Mabeberu wamekufa kama alivyo ondoka aliyekuwa anapenda kuwaita?

Haujawahi kufa.... ila Mabeberu na vibaraka wao ndio wamekimbilia ughaibuni

Msamiati MABEBERU upo tangu enzi za mwalimu na unaendelea kuwepo
 
Mama D ungerudi tuu kupikia watoto pilau la iddi. Mabeberu hao ni nani hasa?
 
Awamu ya tano kuliibuka jina mashuhuri sana majukwaani, mitandaoni, Radio na TV na hata mitaani yaani MABEBERU.

Sikujua kuwa majina nayo yana kufa kama wafavyo watu au watu wana kufa na majina/maneno yao?

Sasa hakuna mahali linasemwa tena jina hilo wala wale waliitwa vibaraka wa mabeberu hawaitwi tena.

Sio majukwaani, bungeni wala vikao vya CCM huwezi kusikia maneno hayo tena, MABEBERU.

Je, Mabeberu wamekufa kama alivyo ondoka aliyekuwa anapenda kuwaita?

Mtu mwenye chuki aliondoka na jina lake la chuki kila mzungu alimuona ni mwizi.
 
Awamu ya tano kuliibuka jina mashuhuri sana majukwaani, mitandaoni, Radio na TV na hata mitaani yaani MABEBERU.

Sikujua kuwa majina nayo yana kufa kama wafavyo watu au watu wana kufa na majina/maneno yao?

Sasa hakuna mahali linasemwa tena jina hilo wala wale waliitwa vibaraka wa mabeberu hawaitwi tena.

Sio majukwaani, bungeni wala vikao vya CCM huwezi kusikia maneno hayo tena, MABEBERU.

Je, Mabeberu wamekufa kama alivyo ondoka aliyekuwa anapenda kuwaita?
Labda mabeberu yalichinjwa watu wakala nyama na supu
 
Back
Top Bottom