za kichinachina zina nafuu. Wamejaza makada na wateule wengi kuhadaa watu. Suala lililopo kikatiba wanaunda tume ya nini. Si wakabadilishe katiba....katiba mpya pia hawaitaki hawa keng*.Movie za kichinachina!
Duh..Kikosi kiko dominated na wateule wengi wa rais makada wa CCM kina Mukandara sijui kama kitakuja na mapendekezo ya maana.
View attachment 2054988View attachment 2054990View attachment 2054989
Chadema hawana jema ,waliitwa wakatoe maoni yao wakasusa Leo Mambo yanaenda wanataka watu wao wawemo chadema ni mang'ombe tuHuyu msajili wa hovyo kuwahi kutokea. Amewajaza makada kindakindaki wa CCM na watu wengine wasio na vyama. Watatafuna hela tu hamna jipya hapo litalokuja. Wengine wana vyeo vya kuteuliwa hapo watakubali kuhatarisha vibarua vyao kwa kuleta hoja zinazopingana na kiti cha uteuzi? Upupu mtupu.
Upuuzi mtupuKikosi kiko dominated na wateule wengi wa rais makada wa CCM kina Mukandara sijui kama kitakuja na mapendekezo ya maana.
View attachment 2054988View attachment 2054990View attachment 2054989
Ng'ombe mama yako mzaziChadema hawana jema ,waliitwa wakatoe maoni yao wakasusa Leo Mambo yanaenda wanataka watu wao wawemo chadema ni mang'ombe tu
Ulitarajia kitu kipya kweli kwenye hilo ?Mbona naona makada wa CCM tu?
Na kwani hakuna wengine au vijana mpaka watumie kina Rwekaza Mukandara?
Mambo yanaenda wapi, hao wajumbe sio wabunge kuwa watabadili katiba ni kutoa mapendekezo tu kwa aliyewatuma ambaye ni rais, wataundaje tume huru ya uchaguzi bila kurekebisha katiba, soma ibara ya 74 ya katiba wajumbe wote wanateuliwa na rais.Chadema hawana jema ,waliitwa wakatoe maoni yao wakasusa Leo Mambo yanaenda wanataka watu wao wawemo chadema ni mang'ombe tu
99% ni CCM na Affiliate wao
Hakuna kitu hapo zaidi ya kujitekenya na kucheka wenyewe
Huyu ni miongoni mwa Wajumbe , What a Joke !View attachment 2055062
Uzuri ni kwamba tozo kuongezeka na mengine na wewe yanakukong'ota kisawa sawa... Hata Polepole aliyekuwa anafurahia wenzake kuzibwa midogo naye yamemrudia..Chadema hawana jema ,waliitwa wakatoe maoni yao wakasusa Leo Mambo yanaenda wanataka watu wao wawemo chadema ni mang'ombe tu
Chadema hawana jema ,waliitwa wakatoe maoni yao wakasusa Leo Mambo yanaenda wanataka watu wao wawemo chadema ni mang'ombe tu
Punda akitaka kufa huwa anafanyaje??Kikosi kiko dominated na wateule wengi wa rais makada wa CCM kina Mukandara sijui kama kitakuja na mapendekezo ya maana.
Moja ya maazimio yao ni kuirekebisha Tume ya Uchaguzi, utairekebishaje bila kuibadili ibara ya 74?
=================
74.-(1) Kutakuwa na Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano ambayo itakuwa na wajumbe wafuatao watakaoteuliwa
na Rais:- (a)
(b)
(c)
.
.
(5) Rais aweza kumwondoa katika madaraka Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi kwa sababu ya kushindwa kutekeleza kazi zake, ama kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote, au kwa sababu ya tabia mbaya au kupoteza sifa za kuwa mjumbe.
===============
View attachment 2054988View attachment 2054990View attachment 2054989