igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,590
- 3,346
Nilitaraji ili kubalance wangekuweka pia askofu BagonzaHuyu ni miongoni mwa Wajumbe , What a Joke !View attachment 2055062
Nilitaraji ili kubalance wangekuweka pia askofu BagonzaHuyu ni miongoni mwa Wajumbe , What a Joke !View attachment 2055062
Na shekhe PondaNilitaraji ili kubalance wangekuweka pia askofu Bagonza
Balile. Siku zote yuko fair Sana haogopiKikosi kiko dominated na wateule wengi wa rais makada wa CCM kina Mukandara sijui kama kitakuja na mapendekezo ya maana.
Moja ya maazimio yao ni kuirekebisha Tume ya Uchaguzi, utairekebishaje bila kuibadili ibara ya 74?
=================
74.-(1) Kutakuwa na Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano ambayo itakuwa na wajumbe wafuatao watakaoteuliwa
na Rais:- (a)
(b)
(c)
.
.
(5) Rais aweza kumwondoa katika madaraka Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi kwa sababu ya kushindwa kutekeleza kazi zake, ama kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote, au kwa sababu ya tabia mbaya au kupoteza sifa za kuwa mjumbe.
===============
View attachment 2054988View attachment 2054990View attachment 2054989
Nilitaraji ili kubalance wangekuweka pia askofu Bagonza
Mukandara.Sidhani kama katika uzee wake na usomi wake atayumbishwa.Tuwaamini
Shekhe ubwabwaHuyu ni miongoni mwa Wajumbe , What a Joke !View attachment 2055062
Kuna namna wewe huenda ulishawahi kupigwa mti na CHADEMA?Chadema hawana jema ,waliitwa wakatoe maoni yao wakasusa Leo Mambo yanaenda wanataka watu wao wawemo chadema ni mang'ombe tu
Labda watajigeuza kuwa Bunge Maalumu watunge sheria zingine za uchaguzi.Yaani hicho kikosi kazi cha msajili kinaenda kufanya kazi gani ambayo sheria na katiba haviko clear?
Sheria na katiba viko wazi kuhusiana na haki za vyama kufanya mikutano ya siasa nchini full stop. Haihitajiki Task force wala nini kwenda kudiscuss rights hizo.
Halafu kwenye mambo ya Siasa ukamuweke Sheikh au Padri kama mjumbe ili iweje?
Ha ha ha wawili hao kila wakiomba mic kuongea wangekuwa wanakishwaNa shekhe Ponda
Yaan makada wa ccm ndo kikosi kazi hapo hakuna jipya #tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguz#Kikosi kiko dominated na wateule wengi wa rais makada wa CCM kina Mukandara sijui kama kitakuja na mapendekezo ya maana.
Where is Jaji Warioba in this Task Force at least.
Chadema waliona mbali sana kama wangekosea wakahudhuria nao wangekuwa sehemu ya maigizo chini ya Mutungi na Mukandara wangewaambia nini wananchi.
Moja ya maazimio yao ni kuirekebisha Tume ya Uchaguzi, utairekebishaje bila kuibadili ibara ya 74?
=================
74.-(1) Kutakuwa na Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano ambayo itakuwa na wajumbe wafuatao watakaoteuliwa
na Rais:- (a)
(b)
(c)
.
.
(5) Rais aweza kumwondoa katika madaraka Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi kwa sababu ya kushindwa kutekeleza kazi zake, ama kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote, au kwa sababu ya tabia mbaya au kupoteza sifa za kuwa mjumbe.
===============
View attachment 2054988View attachment 2054990View attachment 2054989
View attachment 2055152
🤣Chadema hawana jema ,waliitwa wakatoe maoni yao wakasusa Leo Mambo yanaenda wanataka watu wao wawemo chadema ni mang'ombe tu