TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,079
Kuvaa nguo za chama na kufanya makosa hakumaanishi chama kimekosa. Lakini Chama kikiwa kwenye vikao vyake halali, huku uongozi mzima wa kichama tena kitaifa kudiriki kuvunja sheria hakiwezi kujivua 'dhambi' hii. Chadema jana walikuwa kwenye vikao halali na wamefanya kosa hilo, hivyo kama wanajielewa wawaombe radhi watanzania mara moja.Ayaaaaa!!!! Hii video umewavunga nguo hadharani
Mtanzania anayejitambua hawezi kuchezea wimbo wa Taifa.