Kazi yangu ilikuwa kuwachorea mlango ukutani misukule na kuwaaacha wakigombania hiyo picha ya mlango wakiongozwa na Paulina
Du aisee we jamaa mweupe aisee.
Kazi yangu ilikuwa kuwachorea mlango ukutani misukule na kuwaaacha wakigombania hiyo picha ya mlango wakiongozwa na Paulina
Nimesema siasa za Tanzania. Unataka tena nikufundishe mfumo wa siasa za Tanzania wakati hilo ni somo la darasa la nne.Mkuu,fafanua maana kuna kitu unakificha hapo,umesema gwiji la siasa je za siasa za majitaka,siasa za kishirikina au zipi?
Hivi Shoza alipokelewa nani vile huko kwenu?Yani katibu mkuu wa chama anapokea dagaa khaa hiki ni chama AMA Gari la mkaa
Unamaanisha wanachama wa Chadema ni misukule?unajua maana ya msukule wewe? Haya Lukosi utajibiwaCheo gani,
Cha kuongoza misukule?
yes! inawekana kabisa ma infoma wa uchaguzi ujao, hnawezekana ndo wanapandikizwa! Cdm bi keafuu!. Cc Kitilamkumbo.isije kus katumwa huyo....
Mkuu Lwakatare mahakama ilimwachia huru, baada ya kuona hana kesi ya kujibu, Mwigulu na kanda zake chaliii!!!!Kesi ya kutunga ya ugaidi iliyoasisiwa ma Mwigulu Nchemba umeshapata taarifa?
Hapo jamaa alikuwa mpiga kiwi wamehangaika hivi,Halafu ndiyo wanaanza kulia lia eti CHADEMA tuna 'kirusi', mara CCM wanatuhujumu.
Yaani mtu anasafilishwa kutoka Iramba kuja kupewa kadi ya uanachama ofisi kuu na katibu mkuu wa chama na hapo hapo wanaalika waandishi wa habari na pia wataalam wa photoshoot kwa ajiri ya newspapers front page. Kisa, eti kwa sababu ni mfanyakazi wa Mwigulu Nchemba.
Haya ni matatizo ya katibu mkuu wa chadema kukosa kazi ya maana kufanya na pia ni kupoteza muda wa waandishi wa habari.
Nashukuru mkuu kwa kunienzi.kambwa kangu nimekapa jina la chris lukosi
Wanapagawa kina Shonza, Mwampamba, na masalia wengine waliotimkia CCM!!!!Mimi ninauheshimu sana mchango wako katika medani ya elimu nchini lakini ninapatwa na wasiwasi na namba ya gia ya kisiasa unayotaka kuingia nayo Iramba Magharibi. Ninapatwa na wasiwasi kama utaweza kuogelea kwenye mawimbi mazito ya siasa za majitaka na propaganda kama ulivyoanza.
Kitila Mkumbo kumnunua mtu siyo lazima umpatie pesa mkononi. Hotel bure, chakula bure, usafiri bure, magwanda ya chadema bure na hata kadi nyingine ya uanachama nayo ni bure. Hivi vitu vyote vimemtongoza kisiasa na sasa yuko Dar anajirusha kwenye viwanja ambavyo hakutegemea kufika. Huku si ndiyo kumnunua kisiasa.
Ninakutakia safari njema ya kisiasa katika jimbo la Iramba Magharibi lakini kumbuka unaenda kupambana na gwiji la siasa za Tanzania ambaye jina lake ukilitaja ndani ya ofisi za CHADEMA, mtaa wa Ufipa, kuna viongozi ndani ya ofisi huwa wanapata kiwewe.
Huyo atakuwa mpiga kiwi wa mwigulu
Si ni kama wewe tu ulivyokua mshika ukut wa Lema alivyokuja USAHuyo atakuwa mpiga kiwi wa mwigulu
Yani katibu mkuu wa chama anapokea dagaa khaa hiki ni chama AMA Gari la mkaa
Huyo atakuwa mpiga kiwi wa mwigulu
Ha ha ha ...jamani mnataka kuua mtani wangu !!!!Pole mwigulu usipougua presha ndani ya hizi wiki 2 sijui!
Hapo jamaa alikuwa mpiga kiwi wamehangaika hivi,
Je angekuwa house boy wake ingekuwaje?
Cheo gani,
Cha kuongoza misukule?
Serukamba.
View attachment 92883
Khe!! Huyo namfahamu
vema bila shaka kale ka ugonjwa kake ka kuhamahama kamemrudia kwan
aliwahi kuwa NCCR! Nchemba kule hatoki kwani hatujaona mabadiliko ktk
majimbo ambayo cdm imeshika zaidi wabunge wake wameongoza migogoro na
fujo tu!
Bonge la responce...Hii ilitakiwa ifanyike kwenye jimbo la Serukamba, Nkamia, Kibajaji, Ndugai, Makinda et al ... Mchuzi wa Mbwa shurt inywewe ikiwa ya moto!....Pole mwigulu usipougua presha ndani ya hizi wiki 2 sijui!