Mkaanga vitumbua Ulaya........hujambo?
Brigita umenifurahisha sana. Keep it up.
Mkaanga vitumbua Ulaya........hujambo?
Nipo muuza urojoMkaanga vitumbua Ulaya........hujambo?
Ha ha ha! eti chama makini, au maskini wa sera?!
Mpiga KiwiMsaidizi wa Mwigulu Nchemba, wa nini wa kupealeka watoto shule.
Hahahahaa! Upo?Huyo atakuwa mpiga kiwi wa mwigulu
Huyo atakuwa mpiga kiwi wa mwigulu
Mpiga Kiwi
Mpiga Kiwi
Huyo atakuwa mpiga kiwi wa mwigulu
Yule mwigulu anaogopwa kwa kung'oa watu kucha na meno bila ganzi.Pro-Chadema wanamuogopa Mwingulu Nchemba mpaka wafanyakazi wake wa ndani wakijiunga Chadema inakuwa habari muhimu makao makuu ya Chadema.
Acha ujinga we lifisadi kwani mfanyakazi wa ndani siPro-Chadema wanamuogopa Mwingulu Nchemba mpaka wafanyakazi wake wa ndani wakijiunga Chadema inakuwa habari muhimu makao makuu ya Chadema.
Huyo atakuwa mpiga kiwi wa mwigulu
Usishangae mwaka 2015 anakuwa mgombe ubunge wa Chadema kisa alikuwa mkanda chapati wa Mwigulu.
Mkuu jamaa wakisikia jina Mwigulu wanachanganyikiwa kama vile ndege wakimuona pakaPro-Chadema wanamuogopa Mwingulu Nchemba mpaka wafanyakazi wake wa ndani wakijiunga Chadema inakuwa habari muhimu makao makuu ya Chadema.
Kiongozi uliiona hii kitu kuna mtu aliiweka humu jana sa sijui kama umeikanusha tayari??
WASIFU WA LUKOSI
1.Huyu jamaa alikuwa polisi akafukuzwa sababu ya ajali katika msafara wa pm wakati ule John Malecela na kukimbilia Botwana kwa dada yake ambaye ni Nurse.2
2.Lukosi alifuatana na dadake nchini uk baada ya kupata kazi uk nayeye alipata nafasi ya kuambatana naye uk.
3.Lukosi alipata nafasi ya kujifanya mkimbizi na kuukana utanzania pamoja na porojo zake yeye uk anafahamika kama mkimbizi wa kisiasa na njaa.
4. Lukosi alipata kazi ya kuwa traffic warden kwa bahati mbaya alipata ajali ambayo ilimfanya adhurike kichwani alilazwa kwa muda mrefu na aliathirika na ajali ile kichwani.Kampuni aliyokuwa akiifanyia kazi ilimlipa malipo kutokana na ajali hiyo,na baada ya muda aliacha kazi na kuanza biashara.
5 Lukosi alianza biashara za kupeleka magari mabovu Tanzania na baiskeri za wizi kutokea maeneo ya barking&dagenham na baada ya muda alianza biashara nyingine ambazo wengi wanazijua.
6 Lukosi alijaribu kujiingiza kwenye siasa baada ya kukutana na mbunge Lema jijini London,na nia kubwa akifikiri atapata tender za kusafirisha mizigo na magari ya chadema.Alipewa nafasi kukaa hotelini kwa mzee ndesambulo jijini Dar kwa week moja free of charge.
7 Baada ya kukosa tender hiyo Lukosi alirudi ccm ambapo hajawahi kuwa mwanachama uk,na alianza kashfa nyingi kuhusu chadema na hii ni kutokana na waajiri wake wa biashara (sizisemi) kutoka Tanzania ambao ni wafadhiliwa na ccm kutokana biashara hizo.Ametumia muda mwingi mtandaoni ili wamkubali kuwa katoka chadema na anaichafua.
8 Kashfa aliyoitoa kwa mbunge Lema kuhusu kubaka huko London,kwa taarifa za uhakika yule dada ni muathirika wa VVU na alikuwa ni mpenzi wake LUKOSI kwa muda.
Tumdharau Lukosi kwa sababu ana ugonjwa wa pressure na inasemekana ni muathirika wa vvu si mwana siasa ila ni stress zinamsumbua naomba kutoa hoja
Mkuu hawa jamaa kuna hatari wakasimamisha vikatuni kugombea ubungeUsishangae mwaka 2015 anakuwa mgombe ubunge wa Chadema kisa alikuwa mkanda chapati wa Mwigulu.