Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Pole Chris sio yeye peke yake wako wengi waliokabidhi kadi za CCM, mwaka huu ni wenu watu wanatimka!!!!Huyo atakuwa mpiga kiwi wa mwigulu
Pole Chris sio yeye peke yake wako wengi waliokabidhi kadi za CCM, mwaka huu ni wenu watu wanatimka!!!!Huyo atakuwa mpiga kiwi wa mwigulu
Mkuu RitzPro-Chadema wanamuogopa Mwingulu Nchemba mpaka wafanyakazi wake wa ndani wakijiunga Chadema inakuwa habari muhimu makao makuu ya Chadema.
Viongozi wa CHADEMA wanahonga hata wafanyakazi wa mwigulu ili wawafurahishe wafuasi wao kwa propaganda mufilisi, na kwa kufanya hivyo, huyu jamaa alikodishiwa hotel na chakula na Kitila Mkumbo, halafu akasafiriswa mpaka mtaa wa Ufipa, Kinondoni kwenda kukabidhiwa Kadi na Dr. Slaa wakati hata kadi ile ya zamani ya Chadema alikuwa bado anayo. kwa sasa ana kadi mbili za CDM. Hili sakata linaonyesha ni jinsi gani wanamuogopa Mwigulu Nchemba.Pro-Chadema wanamuogopa Mwingulu Nchemba mpaka wafanyakazi wake wa ndani wakijiunga Chadema inakuwa habari muhimu makao makuu ya Chadema.
chadema wawe makini na hao watu maana hila sasa hivi ni kubwa mno. Kama yule aliyedai aliandamwa na Mwigulu hadi akaamua kurudi ccm alikuwa mpinzani kweli, huyu Mwigulu atamwacha? Cdm muwe makini sana na huyo. Ni maandalizi ya kuvuruga mipango ya Dk Kitila Mkumbo kugombea jimbo hilo. Narudia tena, cdm muwe makini sana
Askari mzima unalala sebuleni kwa dada yako!Mkuu hawa jamaa kuna hatari wakasimamisha vikatuni kugombea ubunge
Viongozi wa CHADEMA wanahonga hata wafanyakazi wa mwigulu ili wawafurahishe wafuasi wao kwa propaganda mufilisi, na kwa kufanya hivyo, huyu jamaa alikodishiwa hotel na chakula na Kitila Mkumbo, halafu akasafiriswa mpaka mtaa wa Ufipa, Kinondoni kwenda kukabidhiwa Kadi na Dr. Slaa wakati hata kadi ile ya zamani ya Chadema alikuwa bado anayo. kwa sasa ana kadi mbili za CDM. Hili sakata linaonyesha ni jinsi gani wanamuogopa Mwigulu Nchemba.
Mwigulu Nchemba ni kiboko ya CHADEMA.
Nisaidie hela ya kukodi chumba mkuu,Askari mzima unalala sebuleni kwa dada yako!
Viongozi wa CHADEMA wanahonga hata wafanyakazi wa mwigulu ili wawafurahishe wafuasi wao kwa propaganda mufilisi, na kwa kufanya hivyo, huyu jamaa alikodishiwa hotel na chakula na Kitila Mkumbo, halafu akasafiriswa mpaka mtaa wa Ufipa, Kinondoni kwenda kukabidhiwa Kadi na Dr. Slaa wakati hata kadi ile ya zamani ya Chadema alikuwa bado anayo. kwa sasa ana kadi mbili za CDM. Hili sakata linaonyesha ni jinsi gani wanamuogopa Mwigulu Nchemba.
Mwigulu Nchemba ni kiboko ya CHADEMA.
Huyo atakuwa mpiga kiwi wa mwigulu
Uhuuu, we koma!! Kwa kuwa nyie mnanunua watu mnafikiri kila mtu anafanya hivyo. Hatuna huo muda wala hatuna hela za kuchezea kama nyie. Huyo dhamira imemshtaki na kumsuta na kuamua kuomba msamaha. Tumemkaribisha kama mwanachama kwa sababu alipoondoka hatukumdharau wala kumtusi na kumtisha kama nyie mfanyavyo. Leo hii aliyekuwa anashikilia ofisi ya mbunge na kumtembeza mbunge kila kijiji mnamuona hana maana. Huyu ndiye aliyekuwa anamfundisha Mwigulu aseme nini kuhusu CHADEMA mnamuona leo hana maana. Huyu mliyempa cheo cha Uenyekiti wa Jimbo kisichokuwepo hata kwenye Katiba yenu ili kumbembeleza amegeuka mpiga kiwi. Ama kweli shetani hana adabu!!
Dr Paurine Mgonjwa wako kaacha dozi .....!!Huyo atakuwa mpiga kiwi wa mwigulu
Yuko hapa ataleta majibu, tupe facts Mr Lukosi????Kiongozi uliiona hii kitu kuna mtu aliiweka humu jana sa sijui kama umeikanusha tayari??
WASIFU WA LUKOSI
1.Huyu jamaa alikuwa polisi akafukuzwa sababu ya ajali katika msafara wa pm wakati ule John Malecela na kukimbilia Botwana kwa dada yake ambaye ni Nurse.2
2.Lukosi alifuatana na dadake nchini uk baada ya kupata kazi uk nayeye alipata nafasi ya kuambatana naye uk.
3.Lukosi alipata nafasi ya kujifanya mkimbizi na kuukana utanzania pamoja na porojo zake yeye uk anafahamika kama mkimbizi wa kisiasa na njaa.
4. Lukosi alipata kazi ya kuwa traffic warden kwa bahati mbaya alipata ajali ambayo ilimfanya adhurike kichwani alilazwa kwa muda mrefu na aliathirika na ajali ile kichwani.Kampuni aliyokuwa akiifanyia kazi ilimlipa malipo kutokana na ajali hiyo,na baada ya muda aliacha kazi na kuanza biashara.
5 Lukosi alianza biashara za kupeleka magari mabovu Tanzania na baiskeri za wizi kutokea maeneo ya barking&dagenham na baada ya muda alianza biashara nyingine ambazo wengi wanazijua.
6 Lukosi alijaribu kujiingiza kwenye siasa baada ya kukutana na mbunge Lema jijini London,na nia kubwa akifikiri atapata tender za kusafirisha mizigo na magari ya chadema.Alipewa nafasi kukaa hotelini kwa mzee ndesambulo jijini Dar kwa week moja free of charge.
7 Baada ya kukosa tender hiyo Lukosi alirudi ccm ambapo hajawahi kuwa mwanachama uk,na alianza kashfa nyingi kuhusu chadema na hii ni kutokana na waajiri wake wa biashara (sizisemi) kutoka Tanzania ambao ni wafadhiliwa na ccm kutokana biashara hizo.Ametumia muda mwingi mtandaoni ili wamkubali kuwa katoka chadema na anaichafua.
8 Kashfa aliyoitoa kwa mbunge Lema kuhusu kubaka huko London,kwa taarifa za uhakika yule dada ni muathirika wa VVU na alikuwa ni mpenzi wake LUKOSI kwa muda.
Tumdharau Lukosi kwa sababu ana ugonjwa wa pressure na inasemekana ni muathirika wa vvu si mwana siasa ila ni stress zinamsumbua naomba kutoa hoja
Wewe ndio unapiga kiwi huko na kuosha vyombo mahotelini.Huyo atakuwa mpiga kiwi wa mwigulu
Mkuu una uhakika na unayosema kaka?Uhuuu, we koma!! Kwa kuwa nyie mnanunua watu mnafikiri kila mtu anafanya hivyo. Hatuna huo muda wala hatuna hela za kuchezea kama nyie. Huyo dhamira imemshtaki na kumsuta na kuamua kuomba msamaha. Tumemkaribisha kama mwanachama kwa sababu alipoondoka hatukumdharau wala kumtusi na kumtisha kama nyie mfanyavyo. Leo hii aliyekuwa anashikilia ofisi ya mbunge na kumtembeza mbunge kila kijiji mnamuona hana maana. Huyu ndiye aliyekuwa anamfundisha Mwigulu aseme nini kuhusu CHADEMA mnamuona leo hana maana. Huyu mliyempa cheo cha Uenyekiti wa Jimbo kisichokuwepo hata kwenye Katiba yenu ili kumbembeleza amegeuka mpiga kiwi. Ama kweli shetani hana adabu!!
Huyo atakuwa mpiga kiwi wa mwigulu
Na wewe kwa akili yako unazania ilikuwaje?mkibizi,habari za ulaya?
je,wewe ulifukuzwa cdm au ulikimbia?