Msaidizi wa Mwigulu atimkia CHADEMA

Msaidizi wa Mwigulu atimkia CHADEMA

Uhuuu, we koma!! Kwa kuwa nyie mnanunua watu mnafikiri kila mtu anafanya hivyo. Hatuna huo muda wala hatuna hela za kuchezea kama nyie. Huyo dhamira imemshtaki na kumsuta na kuamua kuomba msamaha. Tumemkaribisha kama mwanachama kwa sababu alipoondoka hatukumdharau wala kumtusi na kumtisha kama nyie mfanyavyo. Leo hii aliyekuwa anashikilia ofisi ya mbunge na kumtembeza mbunge kila kijiji mnamuona hana maana. Huyu ndiye aliyekuwa anamfundisha Mwigulu aseme nini kuhusu CHADEMA mnamuona leo hana maana. Huyu mliyempa cheo cha Uenyekiti wa Jimbo kisichokuwepo hata kwenye Katiba yenu ili kumbembeleza amegeuka mpiga kiwi. Ama kweli shetani hana adabu!!
Mkuu Mwigulu na CO yake wako hoi bin taabani, pressure tupu, watu wanatimka hadi jimboni kwake, asubiri sasa na matusi yake hadi 2013 aone cha moto!!!
 
Mwingulu Nchemba Anajulikana ni kuwa ni DEBE Tupu haliwachi makelele
 
Nimemsikiliza Bwana Ntunda ametumia haki yake ya kikatiba kuchagua Chema na kukataa kibaya! Kazi kwako Mwigulu wameanza kukushtukia sasa sijui utawaloga wote!
 
Huyu jamaa ema edgah ntundu,mwigulu kamtumia sana kwenye kampeni urugu na igunga. Na amekuwa akizunguka nae vijijini anapokuwa ziarani iramba. Wakati anaingia ccm mwaka 2011,walimpokea kwa mbwembwe kule igunga. Walimhonga pesa nyingi. Somo kwa wanairamba ni kuwa,siasa za kuwahonga watu,zinazotumiwa na mwigulu zimefeli.
 
Pro-Chadema wanamuogopa Mwingulu Nchemba mpaka wafanyakazi wake wa ndani wakijiunga Chadema inakuwa habari muhimu makao makuu ya Chadema.
Kesi ya kutunga ya ugaidi iliyoasisiwa ma Mwigulu Nchemba umeshapata taarifa?
 
CDM haitapokea wanachama kutoka CCM - Mbowe
CDM itajitoa mchakato wa katiba ikifika April 30 kama madai yetu hayatatekelezwa - Mbowe

Chama Makini
ulikariri vibaya we gamba,,,alisema chadema haitapokea wanachama toka ccm dakika za mwisho wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali za uongozi baada ya kutoswa ccm.
 
Uhuuu, we koma!! Kwa kuwa nyie mnanunua watu mnafikiri kila mtu anafanya hivyo. Hatuna huo muda wala hatuna hela za kuchezea kama nyie. Huyo dhamira imemshtaki na kumsuta na kuamua kuomba msamaha. Tumemkaribisha kama mwanachama kwa sababu alipoondoka hatukumdharau wala kumtusi na kumtisha kama nyie mfanyavyo. Leo hii aliyekuwa anashikilia ofisi ya mbunge na kumtembeza mbunge kila kijiji mnamuona hana maana. Huyu ndiye aliyekuwa anamfundisha Mwigulu aseme nini kuhusu CHADEMA mnamuona leo hana maana. Huyu mliyempa cheo cha Uenyekiti wa Jimbo kisichokuwepo hata kwenye Katiba yenu ili kumbembeleza amegeuka mpiga kiwi. Ama kweli shetani hana adabu!!
Mimi ninauheshimu sana mchango wako katika medani ya elimu nchini lakini ninapatwa na wasiwasi na namba ya gia ya kisiasa unayotaka kuingia nayo Iramba Magharibi. Ninapatwa na wasiwasi kama utaweza kuogelea kwenye mawimbi mazito ya siasa za majitaka na propaganda kama ulivyoanza.

Kitila Mkumbo kumnunua mtu siyo lazima umpatie pesa mkononi. Hotel bure, chakula bure, usafiri bure, magwanda ya chadema bure na hata kadi nyingine ya uanachama nayo ni bure. Hivi vitu vyote vimemtongoza kisiasa na sasa yuko Dar anajirusha kwenye viwanja ambavyo hakutegemea kufika. Huku si ndiyo kumnunua kisiasa.

Ninakutakia safari njema ya kisiasa katika jimbo la Iramba Magharibi lakini kumbuka unaenda kupambana na gwiji la siasa za Tanzania ambaye jina lake ukilitaja ndani ya ofisi za CHADEMA, mtaa wa Ufipa, kuna viongozi ndani ya ofisi huwa wanapata kiwewe.
 
Na wewe ulipokuwa CDM ulikuwa nani? Acha njaa umepata taarifa ya hukumu ya Lwakatare?
Kazi yangu ilikuwa kuwachorea mlango ukutani misukule na kuwaaacha wakigombania hiyo picha ya mlango wakiongozwa na Paulina
 
Huyo atakuwa mpiga kiwi wa mwigulu

Kwani mpiga kiwi sio mtu?Mijitu mingine bana sijui ikoje,halafu eti unajiita Mwanasiasa,mwanasiasa gani anakua na akili za ki ma**ya ma**ya kama hizo.
 
Mimi ninauheshimu sana mchango wako katika medani ya elimu nchini lakini ninapatwa na wasiwasi na namba ya gia ya kisiasa unayotaka kuingia nayo Iramba Magharibi. Ninapatwa na wasiwasi kama utaweza kuogelea kwenye mawimbi mazito ya siasa za majitaka na propaganda kama ulivyoanza.

Kitila Mkumbo kumnunua mtu siyo lazima umpatie pesa mkononi. Hotel bure, chakula bure, usafiri bure, magwanda ya chadema bure na hata kadi nyingine ya uanachama nayo ni bure. Hivi vitu vyote vimemtongoza kisiasa na sasa yuko Dar anajirusha kwenye viwanja ambavyo hakutegemea kufika. Huku si ndiyo kumnunua kisiasa.

Ninakutakia safari njema ya kisiasa katika jimbo la Iramba Magharibi lakini kumbuka unaenda kupambana na gwiji la siasa za Tanzania ambaye jina lake ukilitaja ndani ya ofisi za CHADEMA, mtaa wa Ufipa, kuna viongozi ndani ya ofisi huwa wanapata kiwewe.
Mkubwa hawa jamaa sasa wameishiwa kisiasa.

Kuhusu suala la kadi hebu waulize namba ya kadi ya Chadema ya Lukosi na niliichukua lini.

Chama chochote cha siasa ni lazima kiwe na rekodi za wanachama wake ikiwa ni pamoja na kujua kama wako hai au la, bila kusahau tarehe waliyojiunga na namba ya kadi zao.

Hawa jamaa kama nilivyosema ni matapeli na tapeli huwa hana records
 
Uhuuu, we koma!! Kwa kuwa nyie mnanunua watu mnafikiri kila mtu anafanya hivyo. Hatuna huo muda wala hatuna hela za kuchezea kama nyie. Huyo dhamira imemshtaki na kumsuta na kuamua kuomba msamaha. Tumemkaribisha kama mwanachama kwa sababu alipoondoka hatukumdharau wala kumtusi na kumtisha kama nyie mfanyavyo. Leo hii aliyekuwa anashikilia ofisi ya mbunge na kumtembeza mbunge kila kijiji mnamuona hana maana. Huyu ndiye aliyekuwa anamfundisha Mwigulu aseme nini kuhusu CHADEMA mnamuona leo hana maana. Huyu mliyempa cheo cha Uenyekiti wa Jimbo kisichokuwepo hata kwenye Katiba yenu ili kumbembeleza amegeuka mpiga kiwi. Ama kweli shetani hana adabu!!

Kweli met, shetani hapepesi
 
Kwani mpiga kiwi sio mtu?Mijitu mingine bana sijui ikoje,halafu eti unajiita Mwanasiasa,mwanasiasa gani anakua na akili za ki ma**ya ma**ya kama hizo.
Nyinyi si mumesema msaidizi wa mwigulu?
Kwani mpiga kiwi wa mwigulu sio msaidizi wake?
 
Mimi ninauheshimu sana mchango wako katika medani ya elimu nchini lakini ninapatwa na wasiwasi na namba ya gia ya kisiasa unayotaka kuingia nayo Iramba Magharibi. Ninapatwa na wasiwasi kama utaweza kuogelea kwenye mawimbi mazito ya siasa za majitaka na propaganda kama ulivyoanza.

Kitila Mkumbo kumnunua mtu siyo lazima umpatie pesa mkononi. Hotel bure, chakula bure, usafiri bure, magwanda ya chadema bure na hata kadi nyingine ya uanachama nayo ni bure. Hivi vitu vyote vimemtongoza kisiasa na sasa yuko Dar anajirusha kwenye viwanja ambavyo hakutegemea kufika. Huku si ndiyo kumnunua kisiasa.

Ninakutakia safari njema ya kisiasa katika jimbo la Iramba Magharibi lakini kumbuka unaenda kupambana na gwiji la siasa za Tanzania ambaye jina lake ukilitaja ndani ya ofisi za CHADEMA, mtaa wa Ufipa, kuna viongozi ndani ya ofisi huwa wanapata kiwewe.

Mkuu,fafanua maana kuna kitu unakificha hapo,umesema Mwigulu ni gwiji la siasa,je siasa za majitaka au siasa za kishirikina?
 
Mkubwa hawa jamaa sasa wameishiwa kisiasa.

Kuhusu suala la kadi hebu waulize namba ya kadi ya Chadema ya Lukosi na niliichukua lini.

Chama chochote cha siasa ni lazima kiwe na rekodi za wanachama wake ikiwa ni pamoja na kujua kama wako hai au la, bila kusahau tarehe waliyojiunga na namba ya kadi zao.

Hawa jamaa kama nilivyosema ni matapeli na tapeli huwa hana records

Halafu ndiyo wanaanza kulia lia eti CHADEMA tuna 'kirusi', mara CCM wanatuhujumu.

Yaani mtu anasafilishwa kutoka Iramba kuja kupewa kadi ya uanachama ofisi kuu na katibu mkuu wa chama na hapo hapo wanaalika waandishi wa habari na pia wataalam wa photoshoot kwa ajiri ya newspapers front page. Kisa, eti kwa sababu ni mfanyakazi wa Mwigulu Nchemba.

Haya ni matatizo ya katibu mkuu wa chadema kukosa kazi ya maana kufanya na pia ni kupoteza muda wa waandishi wa habari.
 
Back
Top Bottom