Arvin sloane
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 996
- 204
Msaidizi wa namna gani Shamba boy wa mwigulu au?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Huyo atakuwa mpiga kiwi wa mwigulu
Yani katibu mkuu wa chama anapokea dagaa khaa hiki ni chama AMA Gari la mkaa
sina shaka na kujiunga kwake na chama cha ukombozi cdm, naamini viongoz wetu wanamfahamu vizur kuliko mimi, pia viongozi wangu wapo makini sana ,nashauri tu uanachama ni haki yake nafasi ya uongozi ndani ya chama, tujiridhishe sana asije kuwa ndio kaagizwa na mchemba, kutengeneza mkanda wa video au chochote
Huyo atakuwa mpiga kiwi wa mwigulu
mbona kwenye lile bandiko la ruzuku ya ccm sikukuona mkuu! Ulikuwa wapi tafadhali nijuze
Hiyo ndio shida yenu CCM.Leo umeamua kumwita mpiga kiwi,hayo but punguzeni majibu mepesi katika maswala mazito kama hay.Swala la chama kupoteza mwananchama sio suala dogo katika tasnia ya siasa.
Mkaanga vitumbua Ulaya........hujambo?
Msaidizi wa Mwigulu Nchemba, wa nini wa kupealeka watoto shule.
Askari mzima unalala sebuleni kwa dada yako!
CDM haitapokea wanachama kutoka CCM - Mbowe
CDM itajitoa mchakato wa katiba ikifika April 30 kama madai yetu hayatatekelezwa - Mbowe
Chama Makini
Bonge la responce...Hii ilitakiwa ifanyike kwenye jimbo la Serukamba, Nkamia, Kibajaji, Ndugai, Makinda et al ... Mchuzi wa Mbwa shurt inywewe ikiwa ya moto!....
Yani katibu mkuu wa chama anapokea dagaa khaa hiki ni chama AMA Gari la mkaa
Acha hizo. Iramba watapata ukombozi ndani ya miaka 2Mimi ninauheshimu sana mchango wako katika medani ya elimu nchini lakini ninapatwa na wasiwasi na namba ya gia ya kisiasa unayotaka kuingia nayo Iramba Magharibi. Ninapatwa na wasiwasi kama utaweza kuogelea kwenye mawimbi mazito ya siasa za majitaka na propaganda kama ulivyoanza.
Kitila Mkumbo kumnunua mtu siyo lazima umpatie pesa mkononi. Hotel bure, chakula bure, usafiri bure, magwanda ya chadema bure na hata kadi nyingine ya uanachama nayo ni bure. Hivi vitu vyote vimemtongoza kisiasa na sasa yuko Dar anajirusha kwenye viwanja ambavyo hakutegemea kufika. Huku si ndiyo kumnunua kisiasa.
Ninakutakia safari njema ya kisiasa katika jimbo la Iramba Magharibi lakini kumbuka unaenda kupambana na gwiji la siasa za Tanzania ambaye jina lake ukilitaja ndani ya ofisi za CHADEMA, mtaa wa Ufipa, kuna viongozi ndani ya ofisi huwa wanapata kiwewe.