Msaidizi wa Mwigulu atimkia CHADEMA

Msaidizi wa Mwigulu atimkia CHADEMA

Mimi ninauheshimu sana mchango wako katika medani ya elimu nchini lakini ninapatwa na wasiwasi na namba ya gia ya kisiasa unayotaka kuingia nayo Iramba Magharibi. Ninapatwa na wasiwasi kama utaweza kuogelea kwenye mawimbi mazito ya siasa za majitaka na propaganda kama ulivyoanza.

Kitila Mkumbo kumnunua mtu siyo lazima umpatie pesa mkononi. Hotel bure, chakula bure, usafiri bure, magwanda ya chadema bure na hata kadi nyingine ya uanachama nayo ni bure. Hivi vitu vyote vimemtongoza kisiasa na sasa yuko Dar anajirusha kwenye viwanja ambavyo hakutegemea kufika. Huku si ndiyo kumnunua kisiasa.

Ninakutakia safari njema ya kisiasa katika jimbo la Iramba Magharibi lakini kumbuka unaenda kupambana na gwiji la siasa za Tanzania ambaye jina lake ukilitaja ndani ya ofisi za CHADEMA, mtaa wa Ufipa, kuna viongozi ndani ya ofisi huwa wanapata kiwewe.

Creating a mountain out of a mole hill!
 
Kweli siasa ni unafiki, sema unamuda wewe wenzio muda wanao na hela wanazo wanaonunua sio CCM pekee yake na nimakosa makubwa kukataa. rushwa katika siasa za bongo imekithiri na mnajua ipo na ndio maaana mnanyosheana vidole. Kumbuka ukimnyooshea kidole kimoja mwenzio vitatu vinanyoosha kwako.

Hawa watu vigeugeu ni wakutazama vizuri na hii recycling ya watu wasio na tija ndio imefikisha nchi hii hapa tulipo kama mtu hafai CCM basi ujue hata katika Chadema hatofaa. Ndio maana katika kazi watu wanakagua CV, imani yetu ni nyie wasomi mlio tukuka muwe wakweli hata kama maumivu yapo ili twende mbele na mjiepushe na politike za hila.

Uhuuu, we koma!! Kwa kuwa nyie mnanunua watu mnafikiri kila mtu anafanya hivyo. Hatuna huo muda wala hatuna hela za kuchezea kama nyie. Huyo dhamira imemshtaki na kumsuta na kuamua kuomba msamaha. Tumemkaribisha kama mwanachama kwa sababu alipoondoka hatukumdharau wala kumtusi na kumtisha kama nyie mfanyavyo. Leo hii aliyekuwa anashikilia ofisi ya mbunge na kumtembeza mbunge kila kijiji mnamuona hana maana. Huyu ndiye aliyekuwa anamfundisha Mwigulu aseme nini kuhusu CHADEMA mnamuona leo hana maana. Huyu mliyempa cheo cha Uenyekiti wa Jimbo kisichokuwepo hata kwenye Katiba yenu ili kumbembeleza amegeuka mpiga kiwi. Ama kweli shetani hana adabu!!
 
Katika watu ambao inatakiwa Chadema watumie resources nyingi wasirudi bungeni ni Nchemba
 
Mchimba kisima huingia mwenyewe, maji ya shingo kwa Nchemba!
 
Dr Mkumbo hakika unapoteza muda wako bure Iramba huwezi shinda hata katani kwako hujulikani nimetoka Mtoa, Masagi,Tyeme, Msai huna base pale sijuwi kijijini kwako nako nina mashaka makubwa. Nafanya utafiti na nitakupatia once nikimaliza maana kwa hakika WANYIRAMBA na CCM ni damu damu usijidanganye hujulikani kabisa IRAMBA labda humu JF na huo ndio ukweli
 
Katika watu ambao inatakiwa Chadema watumie resources nyingi wasirudi bungeni ni Nchemba
Hata mukimuuza BABU kwa CCM na mkapata Trillion 10 bado hamtamuweza kumtoa Mwigulu. Hamjuwi Iramba na Wanyiramba nyie hata Dr Mkumbo anajua huo ukweli na hana ubavu wa kumwangusha Mwigulu ng'o. Jidanganyeni humu JF lakini vijijini Mkumbo hajulikani kabisa hata kijijini kwake full CCM! Mkitaka Kumwondoa Mwigulu mnahitaji miaka 30 na Dr Mkumbo atakuwa ashatimiza miaka 90
 
Mkuu Ritz
Jambaa pimbi wa kiana fulani yaani alirudi CCM ili ajiegemeze kwa Mwigulu Nchemba ili atafute udaku wa kupeleka kwa mabwana zake; kagonga ukuta anajidai eti anarudi Chadema ana mapenzi makubwa hii danganya toto watafute pa kupeleka JF imechuja
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Tushakombolewa tayari na Mwigulu hatuhitaji ukombozi mwingine labda labda MASIA akirudi. Viva Mwigulu,
Viva CCM
 
Ndugu zangu Chama, ritz, bungeni, m23 katika majimbo yenye amani na katu MACDM hawataweza kuyachukua ni hili la IRAMBA MAGHARIBI hata wakalala nje na maandamano mwaka mzima kamwe Mwigulu hawamuwezi. Hawana mwakilishi hata mjumbe mmoja hv watashindaje? Dr mkumbo hata kwake hajulikani hivi atasindaje? Ok kumbe 2015 kura zitapigwa humu JF basi mtashinda lakini kwa wanachi kamwe hawamuwezi Mwigulu a.ka lalilali
 
Dr Mkumbo hakika unapoteza muda wako bure Iramba huwezi shinda hata katani kwako hujulikani nimetoka Mtoa, Masagi,Tyeme, Msai huna base pale sijuwi kijijini kwako nako nina mashaka makubwa. Nafanya utafiti na nitakupatia once nikimaliza maana kwa hakika WANYIRAMBA na CCM ni damu damu usijidanganye hujulikani kabisa IRAMBA labda humu JF na huo ndio ukweli

kweli Mwigulu umepigika mpaka unatumia ukabila? Eti 'wanyiramba' Siasa hujui kazi kutoka mapovu.Nilikuwa shelui juzi kwa kweli jimbo 2015 unalikosa wewe.
 
Mkuu Shelui
Siasa za jF zinajulikana Kitila Mkumbo kama anautaka ubunge na atafute kwa kugombea kama ndoto ni Iramba Magharibi na avae gauni ajiteue mbunge wa viti maalum; huyo hatunyimi usingizi wetu walimpeleka yule pimbi ati awe msaidizi wa Mwigulu Nchemba ili aweze kutoa siri kama zipo kakwama kajidai anarudi Chadema hawajui walipolala wao ndipo tulipoamkia sisi
Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz Chris Lukosi
 
Mkuu Chama,
Sie tuliyopo Iramba tunajua kinachoendelea na hali ya siasa ya huku yaani waallah CDM hawawezi kumtoa Mwigulu hata wakilala uchi mwaka mzima. Na kwa taarifa yao CDM hawana uongozi huku mwenyekiti hawana, katibu ni mzee mmoja very weak anaitwa Salai na huyu ni wetu kabisa. Nyumbani kwa mkumbo panaitwa MGELA na hapo yeye hana nguvu kabisa. KItu kimojabtu alichotufanyia Dr Mkumbo ni kutugawia Calender na zilikuwa 300 na mwenezi wao anaitwa malume akampatia rafiki yangu mmoja pale old kiomboi calender 200 tukazigawa kwa mama NTILIE wakawafungia wanafunzi wa KNTC maandazi basi ukawa mwisho wake. Mkumbo hamuwezi Mwigulu asilani. Tena wakuu Chama,bungeni, ritz,kingukitano,m23,chriss nk iamba hawawezi hawa MaCDM sijuwi kura zikipigwa humu JF lakini kwa wananchi hawana chao.
 
Hata mukimuuza BABU kwa CCM na mkapata Trillion 10 bado hamtamuweza kumtoa Mwigulu. Hamjuwi Iramba na Wanyiramba nyie hata Dr Mkumbo anajua huo ukweli na hana ubavu wa kumwangusha Mwigulu ng'o. Jidanganyeni humu JF lakini vijijini Mkumbo hajulikani kabisa hata kijijini kwake full CCM! Mkitaka Kumwondoa Mwigulu mnahitaji miaka 30 na Dr Mkumbo atakuwa ashatimiza miaka 90

hauitaji google kutambua wewe ndio mwigulu
 
Wakuu Chama, ritz, chris, bungeni, kingukitano naanda anguko la Tundu Lisu maana katika wabunge ambao hawatarudi bungeni 2015 yeye ni mmoja wao na mwenyewe anajua hili pasi na shaka. Maneno mengi jimbo limemshinda na wasiomjua na kulijua jimbo lake husema wasichokijua na kwa taarifa za ndani kabisa toka kwao ati anakuja kugombea singida mjini hapo ndio utakuwa mwisho wake maana hawezi kushindana na MO
 
Back
Top Bottom