Parata
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 3,090
- 692
mkuu chama,
sie tuliyopo iramba tunajua kinachoendelea na hali ya siasa ya huku yaani waallah cdm hawawezi kumtoa mwigulu hata wakilala uchi mwaka mzima. Na kwa taarifa yao cdm hawana uongozi huku mwenyekiti hawana, katibu ni mzee mmoja very weak anaitwa salai na huyu ni wetu kabisa. Nyumbani kwa mkumbo panaitwa mgela na hapo yeye hana nguvu kabisa. Kitu kimojabtu alichotufanyia dr mkumbo ni kutugawia calender na zilikuwa 300 na mwenezi wao anaitwa malume akampatia rafiki yangu mmoja pale old kiomboi calender 200 tukazigawa kwa mama ntilie wakawafungia wanafunzi wa kntc maandazi basi ukawa mwisho wake. Mkumbo hamuwezi mwigulu asilani. Tena wakuu chama,bungeni, ritz,kingukitano,m23,chriss nk iamba hawawezi hawa macdm sijuwi kura zikipigwa humu jf lakini kwa wananchi hawana chao.
naona unaweweseka sana umesahau kuwa kura ndio zinazoongea na sio data zako nyuma ya pc,tambua kuwa ccm imechokwa ukijua ilo litakusaidia sana