Msaidizi wa Mwigulu Nchemba bwana Edgar Ntunda amehamia CHADEMA pamoja na wananchi wengine wengi wa jimbo la Nchemba.
Akizungumza kwa niaba ya wenzake Bwana Ntunda amesema amechoshwa na matusi yanayoporomoshwa kila kukicha na hila za kisiasa dhidi ya Chadema zinazofanywa na Bwana Nchemba hivyo ameenda CHADEMA kufuata sera zitakazoikomboa Tanzania na kuyakimbia matusi na hila za CCM.
Pia alisema Bwana Nchemba ameshindwa kutekeleza ahadi zake hivyo kulikuwa hakuna njia nyingine bali kuhama na aliahidi atamuunga mkono Dr Mkumbo kumwondoa Nchemba 2015.
Kadi hizo zilikabidhiwa na Dr Slaa makao Makuu jana. Picha angalia Mwananchi uk 2.