Msaidizi wa Mwigulu atimkia CHADEMA

Msaidizi wa Mwigulu atimkia CHADEMA

Yani katibu mkuu wa chama anapokea dagaa khaa hiki ni chama AMA Gari la mkaa

Hivi mwenyekiti wa chama kupokea mtu kama Mtela Mwampamba, Shonza na Nakaaya hiki chama au mkokoteni wa kubebea taka dampo?
 
Am wonderin baada ya jamaa kujua atakuwa defeated mahakamani, kwa Lwakatare kufutiwa kesi ya ugaidi, inawezekana kamtuma mtu wake CDM ili iwe rahisi kufanya yake??

Ni mawazo tu, otherwise karibu sana kamanda CDM ni ya wote wenye mapendo mema na nchi hii.
 
Msaidizi wa Mwigulu Nchemba bwana Edgar Ntunda amehamia CHADEMA pamoja na wananchi wengine wengi wa jimbo la Nchemba.

Akizungumza kwa niaba ya wenzake Bwana Ntunda amesema amechoshwa na matusi yanayoporomoshwa kila kukicha na hila za kisiasa dhidi ya Chadema zinazofanywa na Bwana Nchemba hivyo ameenda CHADEMA kufuata sera zitakazoikomboa Tanzania na kuyakimbia matusi na hila za CCM.

Pia alisema Bwana Nchemba ameshindwa kutekeleza ahadi zake hivyo kulikuwa hakuna njia nyingine bali kuhama na aliahidi atamuunga mkono Dr Mkumbo kumwondoa Nchemba 2015.

Kadi hizo zilikabidhiwa na Dr Slaa makao Makuu jana. Picha angalia Mwananchi uk 2.
Pole N
chemba...., kuwa objective wacha siasa za hila zinakiangamiza chama. Hii sera yenu ya kuihujuma cdm itabackfire vibaya. Inaonyesha ccm haiwezi kujibu shutuma za ufisadi na kukosekana uadilifu badala yake imeamua kuwamaliza watoa shutuma. Ona sasa mtu unayemuamini ametimkia upinzani.
 
Yani katibu mkuu wa chama anapokea dagaa khaa hiki ni chama AMA Gari la mkaa

Ahahahah....fast Jet(JK ) alipokea washakupaku Shonza na Mwampamba.......tatizo mkuu mnajisahau sana na ndo maana hamna mipango ya kuivusha nchi hii kutoka alipoihacha Nyerere.....
 
Alikuwa anapeleka unga MAKUNDA nyumbani kwa baba yake Mwigulu...na kutumwa ntulu kwa ajili ya baba yk. Hana impact yeyote kwa afya ya siasa ya Kiomboi hususan kwa Mwigulu. Mwigulu ni kipenzi cha wote chukizo lawajinga.
 
Alikuwa anapeleka unga MAKUNDA nyumbani kwa baba yake Mwigulu...na kutumwa ntulu kwa ajili ya baba yk. Hana impact yeyote kwa afya ya siasa ya Kiomboi hususan kwa Mwigulu. Mwigulu ni kipenzi cha wote chukizo lawajinga.
unaongopa pole wamekukamata vitu katikati ya mapaja yako umesahau ulivyomtoa na kumtangaza kila kata Iramba sema umeumia sana na siri zako za kupanga kuuwa watu zipo peupe pe lundo la washirika wako wamekukimbia, sasa hivibungeni umepoa kama maji MACCM yanakugeuka filamu yako ya ugaidi imebamizwa chini the end of MMwigulu era duh
 
Acha kuongea usichokijua ww! asitoke kafanya nn cha maana zaidi ya kuwanunulia vijana miwa na viroba? Wana Iramba ndo tuna maamuz abak au asibak.

Ww ndo bure kabisa unadhan iramba ww tu ndo kijana? Tupo wengi wenye uelewa
 
Yani katibu mkuu wa chama anapokea dagaa khaa hiki ni chama AMA Gari la mkaa

Naona CCM mmeongezeka sana humu. Nape mzee wa dv 4 kawapa ajira eeee. Kazaneni, police wenu wamesingizia mtu kaua wananchi wakawashitukia
 
Hivi @Mwiguli Nchemba unajua yanayoendelea? Au umekazana kutukana Upinzani wakati kwako kinabomoka?
 
Hivi Mwigulu Nchemba unajua yanayoendelea? Au umekazana kutukana Upinzani wakati kwako kinabomoka?
 
Last edited by a moderator:
Alikuwa anapeleka unga MAKUNDA nyumbani kwa baba yake Mwigulu...na kutumwa ntulu kwa ajili ya baba yk. Hana impact yeyote kwa afya ya siasa ya Kiomboi hususan kwa Mwigulu. Mwigulu ni kipenzi cha wote chukizo lawajinga.
Huyu lazima ndiye mhusika Chemba
 
Mimi ninauheshimu sana mchango wako katika medani ya elimu nchini lakini ninapatwa na wasiwasi na namba ya gia ya kisiasa unayotaka kuingia nayo Iramba Magharibi. Ninapatwa na wasiwasi kama utaweza kuogelea kwenye mawimbi mazito ya siasa za majitaka na propaganda kama ulivyoanza.

Kitila Mkumbo kumnunua mtu siyo lazima umpatie pesa mkononi. Hotel bure, chakula bure, usafiri bure, magwanda ya chadema bure na hata kadi nyingine ya uanachama nayo ni bure. Hivi vitu vyote vimemtongoza kisiasa na sasa yuko Dar anajirusha kwenye viwanja ambavyo hakutegemea kufika. Huku si ndiyo kumnunua kisiasa.

Ninakutakia safari njema ya kisiasa katika jimbo la Iramba Magharibi lakini kumbuka unaenda kupambana na gwiji la siasa za Tanzania ambaye jina lake ukilitaja ndani ya ofisi za CHADEMA, mtaa wa Ufipa, kuna viongozi ndani ya ofisi huwa wanapata kiwewe.

Creating a mountain out of molehill!
 
Back
Top Bottom