Uchaguzi 2020 Msafara wa Mgombea Mwenza CHADEMA, Salum Mwalimu wapigwa mabomu Ifakara

Nimeona video ya mgombea mwenza wa CHADEMA akipigwa mabomu kisa kusimama na kuwasalimia wananchi. Roho imeniuma sana.

Nilikuwa nikiona watu wanajivisha mabomu na kwenda kulipua sehemu nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini mtu anafikia hatua hiyo, ila sasa nimeelewa kwa nini watu hujitoa muhanga.

Rais Magufuli anapita kila sehemu na kusalimia watu lakini hakuna wa kumgusa. Polisi mnahatarisha amani ya nchi.
View attachment 1585538
Hivi hawa polisi wanajitambua kweli!!?? hivi mamazao na shangazi zao wana hawajaumizwa na huu utawala!! niliwahi sikia kuwa! ukifeli kidato cha nne, basi nenda polisi watakuchukua!!
 
jamani tuwe wakweli sasa mtu unapita katikati ya mitaa ya mji kabisa unafunga mtaa unaanza kuhutubia watu gari zingine hazina pa kwenda maduka ya watu ghafla vibaka wanajaa milangni ukiambiwa toka unajaza vibaka maduka ya watu hutaki

Hii video ni ushahidi wa upuuzi wa Chadema unaendaje katikati ya mtaa na kufunga mtaa?
Tuwe wakweli, Magufuli huwa hasimami?
 
Ulishamuona anasimama vichochoroni?
Hapana,hua anasimama na dola.
Screenshot_2020-09-28-13-58-06-1.jpg
 
Back
Top Bottom