Msada tafadhali:Hivi Jukwaa la Wakubwa ndio kitu gani................?

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Nimesikia linazungumziwa sana humu, lakini sijui hata linahusu nini....................!
Naomba mwenye Link yake anitupie ili nijue yanayojiri humo, kama ni sayansi kimu au elimu ya kujitegemea nipate kujifunza na mie.
 
Nimejaribu kumuuliza mwanangu Cantalisia, lakini kanambia hata yeye halijui, kanishauri nifanye udadisi humu chit chat.............
Hebu nitoeni tongotongo za uzee..........
 
Last edited by a moderator:
Ngina na cantalicia yupi wa kwanza kuona jua?by the way hata mi sikujuagi fanya mpango ukipajua tu unipeleke na mimi.
 
Back
Top Bottom