Msada tafadhali:Hivi Jukwaa la Wakubwa ndio kitu gani................?

Nimesikia linazungumziwa sana humu, lakini sijui hata linahusu nini....................!
Naomba mwenye Link yake anitupie ili nijue yanayojiri humo, kama ni sayansi kimu au elimu ya kujitegemea nipate kujifunza na mie.

Ni kweli au unazingua Gustavo?..ni jukwaa la pilau

Tuma PM kwa Robot...omba access, atakujibu ''Access Granted''..he he
 
ukienda kule unakutana na majina ya watu yenye username zao.
kwa mfano mtambuzi jina lake ni..( ).
 
Si wa hapa JF, ni warembo na mahandsome toka sehemu mbalimbali za dunia.
kwa hiyo ndio wanapigana! mh! sababu ya kupigana ni nini! ningelijua hilo jukwaa ningewasuluhisha.....
 
wewe ni mkubwa?

We BT! swali gani hili unauliza?
Mtu keshamaliza maneno hapo!
Akisema keshamuuliza bintie Canta, hakupata ufumbuzi !
Mwenye binti, unamuuliza kama ni mkubwa? Au vipi!
My self i'm agree with Mtambuzi, that anythin' being conceal from normal sight course curiosity with much desire!
 
kule hata kama una vitukuu,lazima kuthibitisha umri. . Kuhakiki kwamba yaliyomo humo unamudu kuyabeba/kuyaona
 
Ni Elimu ya kujitegemea na kuwategemea wengine baada ya kupata 'mtoto' MMU.
au LC's.
 
We BT! swali gani hili unauliza?
Mtu keshamaliza maneno hapo!
Akisema keshamuuliza bintie Canta, hakupata ufumbuzi !
Mwenye binti, unamuuliza kama ni mkubwa? Au vipi!
My self i'm agree with Mtambuzi, that anythin' being conceal from normal sight course curiosity with much desire!
ni kweli kabisa mkuu, mie nashikwa na udadisi kweli
 
eti kwel, ni wapi na unafkaje, na kunan? si watuweke wazi?
 
Back
Top Bottom