Msaada wenu: Jinsi ya kupata pesa za masharti

Nina umri wa miaka 24
Kwetu mm ni mtoto wa kwanza ambae nategemewa na ndugu zangu wakiwemo wadogo zangu na mama yangu mzazi.
Nina fani ya ujenzi na tour guide by professional ila KILA NINAPOTAFUTA KAZI NAKOSA KISA NINA UMRI MDOGO.
PIA SINA REFER
Istoshe wadogo zangu wanarudi shule mwakani na mm ndio wakuwatafutia ADA.
NAUZA PIA FIGO PAMOJA NA INI.
naombeni msaada wenu.
Pesa za masharti nahitaji
Nimesoma tread yako na comment zako, nimegundua umepoteza tumaini, sijui wewe ni una amini nini na dini gani?

Ndugu njia unazozifikilia kuwa ni msaada kwako ni njia za kukosa matumaini kabisa, naomba utambue kila kitu kinachotokea kwa mwanadamu kina kusudi na siku zote Mingi anatuwazia mema,

Kwanza badili mawazo yako na kufikili freemason ni msaada wako au kuuza figo or ini, rudisha imani yako kwa Mungu amini kuwa Yeye pekee ndio msaada wako, pia tambua hakuna mtu ambaye hajapitia maisha magumu, Jipe moyo utashinda kama yana mwanzo basi mwisho wake utafika tu, ukiitaji mtu wa kukupa mawazo naomba uni pm, Mimi niko Dar nitakuja kuongea na wewe
 
Sawa braza
Ntakutumia mawasiliano yangu inbox
 
Ulianza vizuri but issue za kuuza figo Na ini zimeniboa, hata Kama mtu anaweza kuwa interesting kukusaidia, anaghairi....
 
Mtoa Maada umeleta comedy na utani mwingi kiasi kwamba mtu anadhani HAUPO serious
 
Nina umri wa miaka 24
Kwetu mm ni mtoto wa kwanza ambae nategemewa na ndugu zangu wakiwemo wadogo zangu na mama yangu mzazi.
Nina fani ya ujenzi na tour guide by professional ila KILA NINAPOTAFUTA KAZI NAKOSA KISA NINA UMRI MDOGO.
PIA SINA REFER
Istoshe wadogo zangu wanarudi shule mwakani na mm ndio wakuwatafutia ADA.
NAUZA PIA FIGO PAMOJA NA INI.
naombeni msaada wenu.
Pesa za masharti nahitaji
Bado ni Mdogo sana miaka 24 ni bado sana muombe mungu akulinde na akuepushe na unayoyawaza si mawazo mazur
Pil pambana kwa nguvu kwan nafas bado unayo acha kukata tamaa
Tatu hao unaoamini wanakutegemea si kweli kwan kila mja anakuja na lake hapa dunian
 
Hahaha....mkuu umevurugwa aseeeh. Ushauri wangu kwako ukiona haukamilishi ndoto zako na hauna dalili za kuzikamilisha hata nusu ni bora ufe utoweke duniani
 
Nikiwa na pesa hata nikafa nika iachia familia yangu ni sawa tu
Mungu yupo pamoja nawe mkuu, nina imani atakuonyesha njia, humu ndani wapo watu wa aina tofauti, na hakuna kitu MUNGU anapenda kama kuoneana huruma, kusaidiana, kuna msemo unaosema kama huwezi kumpenda binadamu mwenzako unayemuona, basi huwezi kumpenda MUNGU usiyemuona.

Mimi wa kwanza mkuu naahidi kukuchangia nitakapota tu mshahara wangu, na yoyote mwenye nyama na roho ya kibinadamu anayejua anao uwezo wa kumsaidia huyu kijana na amsaidie, sio kwa pesa tu au hata kimawazo. Wengi wamefikia hatua mbaya za kujitoa hadi uhai ni kwa kuwa tu alijiona hana msaada wowote katika jamii inayomzunguka.
 
Bado ni Mdogo sana miaka 24 ni bado sana muombe mungu akulinde na akuepushe na unayoyawaza si mawazo mazur
Pil pambana kwa nguvu kwan nafas bado unayo acha kukata tamaa
Tatu hao unaoamini wanakutegemea si kweli kwan kila mja anakuja na lake hapa dunian
Wadogo zangu bado wadogo na ndio wananichukulia mm kama baba yao
 
Mungu yupo pamoja nawe mkuu, nina imani atakuonyesha njia, humu ndani wapo watu wa aina tofauti, na hakuna kitu MUNGU anapenda kama kuoneana huruma, kusaidiana, kuna msemo unaosema kama huwezi kumpenda binadamu mwenzako unayemuona, basi huwezi kumpenda MUNGU usiyemuona.

Mimi wa kwanza mkuu naahidi kukuchangia nitakapota tu mshahara wangu, na yoyote mwenye nyama na roho ya kibinadamu anayejua anao uwezo wa kumsaidia huyu kijana na amsaidie, sio kwa pesa tu au hata kimawazo. Wengi wamefikia hatua mbaya za kujitoa hadi uhai ni kwa kuwa tu alijiona hana msaada wowote katika jamii inayomzunguka.
KAKA KAMA KWELI MUNGU YUPO BASI AKUBARIKI KAMA KWELI ANATOA BARAKA.
ILA PIA KIKUBWA KATIKA MAISHA YANGU NI KAZI.
MAANA MPAKA NAWAZA HAYA NIKWAMBA MM HUWA SIPENDI KUTEGEMEA CHA MTU AU NDUGU.
UBARIKIWE KAKA
 
Nina umri wa miaka 24
Kwetu mm ni mtoto wa kwanza ambae nategemewa na ndugu zangu wakiwemo wadogo zangu na mama yangu mzazi.
Nina fani ya ujenzi na tour guide by professional ila KILA NINAPOTAFUTA KAZI NAKOSA KISA NINA UMRI MDOGO.
PIA SINA REFER
Istoshe wadogo zangu wanarudi shule mwakani na mm ndio wakuwatafutia ADA.
NAUZA PIA FIGO PAMOJA NA INI.
naombeni msaada wenu.
Pesa za masharti nahitaji
Achana na utajiri wa shetani wa mashariti tena wa muda.

mpokee Yesu yaani uokoke kwa Yesu huko ndiko kwenye utajiri udumuo tena hakuna mashariti magumu zaidi ya kutenda mema na kuishi maisha ya matakatifu yatakayokupa kibali kwa jamii yote.
 
Tatizo sitetei maisha yangu peke yangu.
Kama ningekua peke yangu ingependeza ila ninategemewa na ndugu zangu wadogo zangu wa 3 wawili wanasoma na mm ndio kama baba yao.
Mama yangu ni mgonjwa sana bado ananitegemea mm nimewaza cha kufanya kwa haraka ili kuweza kuokoa maisha ya familia yangu nimepata jibu ni NI MIMI KUJITOA MUHANGA NA KUJI SACRIFICE NO MATTER WHAT GONNA HAPPEN.
kufa nitakufa tu ila staki nige nikiwa kwenye hali ya umaskini huu
Ulipowaza kufa tu, kwa ajiri ya ndugu zako ndo mungu alipoona upendo wako kwa ndugu zako wanaokutegemea wewe nae atakuonyesha njia iliyosalama, naandika hapa kama ushuhuda. Nilikuwa mmoja wa watu niliotamani kuwasaidia ndugu zangu ila hasa mama yangu namimi ndo nilikuwa mtoto was kwanza kuzaliwa kati ya watoto nane kwa mama, kazi yangu ilikuwa ulinzi nilikuwa nalipwa laki na nusu,sikusoma kihivyo ila niliishia kidato cha nne. Na kozi za computer mama yangu aliugua ugonjwa wa ini nikamfuata mkoani na kuja nae dar bila kujali kuwa nilikuwa na chumba kimoja na mke na mtoto mmoja. Sikujali kuwa nalipwa hela kidogo nilimhudumia mama kwa shida hospitalini changamoto ilikuwa ni hela ya kununua dawa, hatimae mama yangu alifariki muhimbili. Nilipata wasamalia walionisaidia pesa ya kurudisha mwili wa mama yangu mkoani shukrani alizozionyesha mama kwangu kwa kujitoa kwake maana wakati mwingine nililazimika kulala nje ya nyumba ili yeye alale ndani,zimenibariki sasa hivi mimi ni mtu mwingine baada ya mwaka mmoja niliajiriwa na serikali bila kutegemea sasa hivi nalipwa zaidi ya milioni moja kwa mwezi na kuwasomesha wadogo zangu. Funzo ukionyesha moyo wa upendo kwa ndugu zako mungu atakupa njia ambayo hukuitegemea na utasaidia ndugu zako niamini. Sali sana mwombe mungu atasikia sauti yako nae atakuinua.
 
Kaka mm nimezaliwa kwenye familia ya kilokole lakin cha ajabu usengenyaji ndio umekua mkubwa tena unavunja moyo
 
Tatizo sitetei maisha yangu peke yangu.
Kama ningekua peke yangu ingependeza ila ninategemewa na ndugu zangu wadogo zangu wa 3 wawili wanasoma na mm ndio kama baba yao.
Mama yangu ni mgonjwa sana bado ananitegemea mm nimewaza cha kufanya kwa haraka ili kuweza kuokoa maisha ya familia yangu nimepata jibu ni NI MIMI KUJITOA MUHANGA NA KUJI SACRIFICE NO MATTER WHAT GONNA HAPPEN.
kufa nitakufa tu ila staki nige nikiwa kwenye hali ya umaskini huu
Huyu yupo karibu sana na kukamata silaha na kwenda kuvamia bank au uporaji wa aina yeyote ile
 
Ulipowaza kufa tu, kwa ajiri ya ndugu zako ndo mungu alipoona upendo wako kwa ndugu zako wanaokutegemea wewe nae atakuonyesha njia iliyosalama, naandika hapa kama ushuhuda. Nilikuwa mmoja wa watu niliotamani kuwasaidia ndugu zangu ila hasa mama yangu namimi ndo nilikuwa mtoto was kwanza kuzaliwa kati ya watoto nane kwa mama, kazi yangu ilikuwa ulinzi nilikuwa nalipwa laki na nusu,sikusoma kihivyo ila niliishia kidato cha nne. Na kozi za computer mama yangu aliugua ugonjwa wa ini nikamfuata mkoani na kuja nae dar bila kujali kuwa nilikuwa na chumba kimoja na mke na mtoto mmoja. Sikujali kuwa nalipwa hela kidogo nilimhudumia mama kwa shida hospitalini changamoto ilikuwa ni hela ya kununua dawa, hatimae mama yangu alifariki muhimbili. Nilipata wasamalia walionisaidia pesa ya kurudisha mwili wa mama yangu mkoani shukrani alizozionyesha mama kwangu kwa kujitoa kwake maana wakati mwingine nililazimika kulala nje ya nyumba ili yeye alale ndani,zimenibariki sasa hivi mimi ni mtu mwingine baada ya mwaka mmoja niliajiriwa na serikali bila kutegemea sasa hivi nalipwa zaidi ya milioni moja kwa mwezi na kuwasomesha wadogo zangu. Funzo ukionyesha moyo wa upendo kwa ndugu zako mungu atakupa njia ambayo hukuitegemea na utasaidia ndugu zako niamini. Sali sana mwombe mungu atasikia sauti yako nae atakuinua.
Namsubiria Mungu anitendee wema kama wako ili niamini maana naona kama vile mm nimekuja duniani kukaa kwa bahati mbaya
 
Safi bro kama uko tayari nikupeleke Bandundu au Kisangani drc wakunyofoe Ini lako kupona ni bahati
 
Namsubiria Mungu anitendee wema kama wako ili niamini maana naona kama vile mm nimekuja duniani kukaa kwa bahati mbaya
Hapana mungu amekuleta makusudi jitahidi sana kumshirikisha mungu matatizo yako atakuinua na utakuja kunikumbuka kuwa nilikwambia hawezi kukuacha mimi naekwambia nimepata kazi ya kueleweka miaka kumi na sita baada ya kumaliza shule, nacho kushauri usiogope kufanya kazi yoyote. Ilimradi ni ya halali ya kukuingizia pesa, mimi nimeuza machngwa,nimeuza maembe,nimeuza miwa kwenye toroli bila kujali watu wananicheka au laa, cha msingi nilikuwa naangalia napata nini nakutia moyo mdogo wangu usiache kuomba mungu wa kweli yupo anakuona na kukusikia atajibu maombi yako wala usichoke kumuomba achana na mawazo ya kishetani na watu wake wanaokushuri kujiunga na ujinga huo.
 
Tatizo sitetei maisha yangu peke yangu.
Kama ningekua peke yangu ingependeza ila ninategemewa na ndugu zangu wadogo zangu wa 3 wawili wanasoma na mm ndio kama baba yao.
Mama yangu ni mgonjwa sana bado ananitegemea mm nimewaza cha kufanya kwa haraka ili kuweza kuokoa maisha ya familia yangu nimepata jibu ni NI MIMI KUJITOA MUHANGA NA KUJI SACRIFICE NO MATTER WHAT GONNA HAPPEN.
kufa nitakufa tu ila staki nige nikiwa kwenye hali ya umaskini huu
Figo unauzaje mkuu weka bei tafadhari?
 
Nina umri wa miaka 24
Kwetu mm ni mtoto wa kwanza ambae nategemewa na ndugu zangu wakiwemo wadogo zangu na mama yangu mzazi.
Nina fani ya ujenzi na tour guide by professional ila KILA NINAPOTAFUTA KAZI NAKOSA KISA NINA UMRI MDOGO.
PIA SINA REFER
Istoshe wadogo zangu wanarudi shule mwakani na mm ndio wakuwatafutia ADA.
NAUZA PIA FIGO PAMOJA NA INI.
naombeni msaada wenu.
Pesa za masharti nahitaji
Hiyo kazi imeshafika kwa madalali usijari wewe weka bei tu ya hilo ini na figo yake......
 
Back
Top Bottom