Msaada wenu: Jinsi ya kupata pesa za masharti

Msaada wenu: Jinsi ya kupata pesa za masharti

Nina umri wa miaka 24
Kwetu mm ni mtoto wa kwanza ambae nategemewa na ndugu zangu wakiwemo wadogo zangu na mama yangu mzazi.
Nina fani ya ujenzi na tour guide by professional ila KILA NINAPOTAFUTA KAZI NAKOSA KISA NINA UMRI MDOGO.
PIA SINA REFER
Istoshe wadogo zangu wanarudi shule mwakani na mm ndio wakuwatafutia ADA.
NAUZA PIA FIGO PAMOJA NA INI.
naombeni msaada wenu.
Pesa za masharti nahitaji
meku..bila shaka ww ni mtu wa mikoa ya kaskazini

una miaka 24 unakata tamaa kiasi hicho

mkabidhi mungu maisha yako,,amini utaona mwanga mbele yako

unaposema unapambana kwa ajiri ya wadogo zako alafu wakati huo huo unataka hela za mashart,,je mganga akisema anataka damu ya ndugu zako,,itakuaje hapo wakat lengo lako ni kuisaidia familia yako

pambana meku,,kila mtu akisema aeleza matatizo yake hapa,,mbona utaona yako yanauhafadhari
 
Nateseka sana psychology yangu imehama kabisa.
Naona sawa dili lolote nitakalo pewa kuhusu pesa ili mradi lisihusike na homosex na kuua ndugu zangu.
Ila mm kujitoa muhanga niko tayari
 
Tuliza akili kwanza mdogo wangu, hayo unayopitia kuna watu wamepitia zaidi ya hayo!
Elewa kwamba hiyo hali haiwezi kuwa hivyohivyo miaka yote, kumbuka kila kitu kina mwanzo na mwisho,
Chamsingi usichukue maamuzi yatakayoharibu Future yako
Uvumilivu ni kitu muhimu sana
Kama uko Arusha nenda pale kanisa LA winner's chapel hapo karibu na florida Kama unaenda mianzini
 
Duh pole ,ila hali ngumu sio kwako shukuru una afya,nenda pale ocean road Hosp utapata suluhisho
 
Sawa braza.
Ila pia nauza figo pamoja na inni.
Ukipata mteja nitafute inbox kaka
Siwezi kukutaftia aisee, ntakuwa nashiriki moja kwa moja katika dhambi hii
Fuata kwanza ushauri ulioambiwa na utupe hayo mawazo pembeni
 
Nina umri wa miaka 24
Kwetu mm ni mtoto wa kwanza ambae nategemewa na ndugu zangu wakiwemo wadogo zangu na mama yangu mzazi.
Nina fani ya ujenzi na tour guide by professional ila KILA NINAPOTAFUTA KAZI NAKOSA KISA NINA UMRI MDOGO.
PIA SINA REFER
Istoshe wadogo zangu wanarudi shule mwakani na mm ndio wakuwatafutia ADA.
NAUZA PIA FIGO PAMOJA NA INI.
naombeni msaada wenu.
Pesa za masharti nahitaji
Ujenzi umesomea au kujifunzia mtaani?

Nifate Inbox nikupe kazi ambayo itakuwezesha kuwalipia ada wadogo zako waende shule January.
 
Tuliza akili kwanza mdogo wangu, hayo unayopitia kuna watu wamepitia zaidi ya hayo!
Elewa kwamba hiyo hali haiwezi kuwa hivyohivyo miaka yote, kumbuka kila kitu kina mwanzo na mwisho,
Chamsingi usichukue maamuzi yatakayoharibu Future yako
Uvumilivu ni kitu muhimu sana
Kama uko Arusha nenda pale kanisa LA winner's chapel hapo karibu na florida Kama unaenda mianzini
Nipo dsm now broh
 
Sawa braza.
Ila pia nauza figo pamoja na inni.
Ukipata mteja nitafute inbox kaka
"njoon kwang nyiny nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo mizito nami nitawapumuzisha" haya ni maneno ya yesu mkuu unatakiwa utafakar vizur pia km unataka njia ya haraka kabla hujafanya chochote nenda kanisa la wasabato ni wakarimu sana watakusaidia fedha na mawazo ambayo yatakufanya upate kazi ni watu wazur nakushaur mkuu usjarb kuuza figo wala ini we nenda kanisa la wasabato waeleze tatizo lako nakwambia hutajuta na watakufanya uwe na furaha sana.
 
Kwanza pole sana achana na mawazo ya kuwazia ajira nionavyo mm kuna shughuli kibao za kufanya siyo lazima uajiliwe ndo utoboe kimaisha anzisha bustani au kilimo cha mazao ya Biashara kulingana na eneo ulilopo ukifanya kwa nia utafanikiwa tu ila usijiingize ktk Mali za kishetani coz itakugharimu maisha yako yote na hutofikia malengo yako
 
Kama uko dsm nenda banana kuna kanisa la winners chapel international pale, shida zako ni za muda mfupi tu, watu wengi tu wamezipitia
Makanisa hayo mengi sio ya kweli sidhani kama ni lazima aombewe hata yeye mwenyewe Ana UWEZO WA kufanya maombi... Mwombe MUNGU wako asikudaganye mtu kuwa Ana nguvu za kukuombea kuliko wewe mwenyewe. Makanisa Gani hayo viongozi wake wanamiliki magari na mandege.. Tutumie akili kidogo tu.. Sio kila kitu kuombewa vingine omba mwenyewe
 
Nauza pia na figo pa1 na ini langu.
Cm yenyewe nimeazima
Mkuu umenichekesha mpaka basi, sio kwa furaha bali kwa huzuni, hebu tafuta wasaa siku moja utembelee MUHIMBILI ndio utajua uzima ulionao una maana gani, unapokosa uzima hakuna chochote mbele yako kinachokuwa na thamani tena, hata pesa uliyonayo haiwezi kuwa na thamani tena.
 
Nikiwa na pesa hata nikafa nika iachia familia yangu ni sawa tu
 
Back
Top Bottom