Msaada wenu: Jinsi ya kupata pesa za masharti

Si bure utakuwa unatumia cha Arusha Mbona sie hatuna utajiri tuna amani,
 
Nina umri wa miaka 24
Kwetu mimi ni mtoto wa kwanza ambae nategemewa na ndugu zangu wakiwemo wadogo zangu na mama yangu mzazi.

Nina fani ya ujenzi na tour guide by professional ila KILA NINAPOTAFUTA KAZI NAKOSA KISA NINA UMRI MDOGO.
PIA SINA REFEREE
Istoshe wadogo zangu wanarudi shule mwakani na mm ndio wakuwatafutia ADA.

NAUZA PIA FIGO PAMOJA NA INI.
naombeni msaada wenu.
Pesa za masharti nahitaji
Hahaahhaha
 
cc Rais2020
 
Huhitaji kuuza figo wala ini lako hivyo ni kwaajili ya maisha yako. Matatizo yako yatakwisha muda si mrefu endapo tuu utaanza kumtegemea Mungu wa Kweli. Mpaka sasa maisha yako hayajawa na Mungu ndio maana shetani anataka kukuuwa wewe pamoja na familia yako. Haraka sana mpe Yesu maisha yako na anza kumwomba kwa kufunga na utaona hadi January 2017 matendo makuu ya Yesu Kristo.
 
Back
Top Bottom