Msaada wenu: Jinsi ya kupata pesa za masharti

Msaada wenu: Jinsi ya kupata pesa za masharti

Meku tz

Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
37
Reaction score
18
Nina umri wa miaka 24
Kwetu mimi ni mtoto wa kwanza ambae nategemewa na ndugu zangu wakiwemo wadogo zangu na mama yangu mzazi.

Nina fani ya ujenzi na tour guide by professional ila KILA NINAPOTAFUTA KAZI NAKOSA KISA NINA UMRI MDOGO.
PIA SINA REFEREE
Istoshe wadogo zangu wanarudi shule mwakani na mm ndio wakuwatafutia ADA.

NAUZA PIA FIGO PAMOJA NA INI.
naombeni msaada wenu.
Pesa za masharti nahitaji
 
JF:THE HOME OF GREAT SINKERS.............
 
Nimeshapambana vya kutosha mbaya zaidi mm nategemewa na ndugu zangu.
Laiti ningezaliwa mwenyewe duniani ningetuliza akili nijue chakufanya.
Msaada wenu plzz
 
Nina umri wa miaka 24
Kwetu mm ni mtoto wa kwanza ambae nategemewa na ndugu zangu wakiwemo wadogo zangu na mama yangu mzazi.
Nina fani ya ujenzi na tour guide by professional ila KILA NINAPOTAFUTA KAZI NAKOSA KISA NINA UMRI MDOGO.
PIA SINA REFER
Istoshe wadogo zangu wanarudi shule mwakani na mm ndio wakuwatafutia ADA.
NAUZA PIA FIGO PAMOJA NA INI.
naombeni msaada wenu.
Pesa za masharti nahitaji
Unahitaji counseling (sina hakika na spelling)na naweza kuongea na wewe ili ubadili mtazamo kama ukitaka
Halafu umri wa miaka 24 si mdogo na tatizo la kazi sio kwako tu bali ni tatizo la dunia
Pesa zinazoitwa za majini na freemason ni utapeli tu utakaozidi kukuongezea stress...na ukibahatika kuzipata za kweli utakuja juta kuingia huko
 
Mm hata figo zangu nauza pa1 na inni.
Kwa mwenye kuhitaji anitafute inbox
Nibora nife kishujaa kuliko kufa maskini wakati ndugu zangu wananiangalia mm.
Nimechoka kutafuta pesa za kawaida
 
Nina umri wa miaka 24
Kwetu mm ni mtoto wa kwanza ambae nategemewa na ndugu zangu wakiwemo wadogo zangu na mama yangu mzazi.
Nina fani ya ujenzi na tour guide by professional ila KILA NINAPOTAFUTA KAZI NAKOSA KISA NINA UMRI MDOGO.
PIA SINA REFER
Istoshe wadogo zangu wanarudi shule mwakani na mm ndio wakuwatafutia ADA.
NAUZA PIA FIGO PAMOJA NA INI.
naombeni msaada wenu.
Pesa za masharti nahitaji
Mkuuu tafata njia nyingine ya kupambana aisee, uza hiyo sim yako ya smartphone ili upate mtaji wa kuanzia kupamba nenda k/koo kama upo dar kauze viatu kama machinga tu wengi wameanzia huko na wametoka acha tamaa, unaweza ukapewa masharti ya kumuua Mama ako na hao ndugu zako ukabaki peke ako sasa sijui hizo pesa unazitaka utamsaidia nani wakati walengwa hawapo, acha tamaa mkuu umri wako bado mdogo sana komaa utatoka acha tamaaa
 
🙄
24 Yrs Bado saaana yan ndio kwanza yani unatambaaa, Ila uskate tamaa tafuta chakufanya utatoka tuu
Tatizo sitetei maisha yangu peke yangu.
Kama ningekua peke yangu ingependeza ila ninategemewa na ndugu zangu wadogo zangu wa 3 wawili wanasoma na mm ndio kama baba yao.
Mama yangu ni mgonjwa sana bado ananitegemea mm nimewaza cha kufanya kwa haraka ili kuweza kuokoa maisha ya familia yangu nimepata jibu ni NI MIMI KUJITOA MUHANGA NA KUJI SACRIFICE NO MATTER WHAT GONNA HAPPEN.
kufa nitakufa tu ila staki nige nikiwa kwenye hali ya umaskini huu
 
Mkuuu tafata njia nyingine ya kupambana aisee, uza hiyo sim yako ya smartphone ili upate mtaji wa kuanzia kupamba nenda k/koo kauze viatu kama machinga tu wengi wameanzia huko na wametoka acha tamaa, unaweza ukapewa masharti ya kumuua Mama ako na hao ndugu zako ukabaki peke ako sasa sijui hizo pesa unazitaka utamsaidia nani wakati walengwa hawapo, acha tamaa mkuu umri wako bado mdogo sana komaa utatoka acha tamaaa
Nauza pia na figo pa1 na ini langu.
Cm yenyewe nimeazima
 
Yaki kukuta hutoshangaa ninachokiandika hapa
Acha uzembe wa fikra katika utafutaji mafanikio yanakuja kwa jasho unapokata tamaa unasababisha kichwa kuwaza mambo mengi na ukaona kama yatakuwa na msaada kwako.

Ni wangap wamefanikiwa kwa kujituma unadhani wao hawakupitia mengi?

Hakuna kizuri kisicho na jasho.
 
Nina waza jinsi ya kusaidia familia yangu haraka mm naona kama vile nimezaliwa kuja kua sacrifice kwa ajili ya ndugu zangu.
BRAZA KAKA HADI HAPA NIMEPITIA MAISHA YENYE HISTORIA NGUMU SANA.
SO SIONI UTHAMANI WA KUISHI DUNIANI WAKATI FAMILIA YANGU INATESEKA.

NAUZA FIGO PIA NA INI.
PLEASE INBOX ME
 
Tatizo sitetei maisha yangu peke yangu.
Kama ningekua peke yangu ingependeza ila ninategemewa na ndugu zangu wadogo zangu wa 3 wawili wanasoma na mm ndio kama baba yao.
Mama yangu ni mgonjwa sana bado ananitegemea mm nimewaza cha kufanya kwa haraka ili kuweza kuokoa maisha ya familia yangu nimepata jibu ni NI MIMI KUJITOA MUHANGA NA KUJI SACRIFICE NO MATTER WHAT GONNA HAPPEN.
kufa nitakufa tu ila staki nige nikiwa kwenye hali ya umaskini huu
Step ya kwanza Funga na kuomba kwa imani, jiunge na kanisa la kisabato waeleze ukweli, litakusaidia kubadili jinsi ya kufikiri na lazima utapata msaada hata wa kazi na kiuchumi kwani hawa watu huwa wakarimu sana
Nakuhakikishia hutajuta na utakuwa mtu mwenye Furaha na kuvumilia kila kitu
 
Sawa braza.
Ila pia nauza figo pamoja na inni.
Ukipata mteja nitafute inbox kaka
 
Naomba niuzie ini basi nipike supu naona uko mbali (kaa utulie hakuna maisha ya raha bila jasho)
 
Back
Top Bottom