cbe

College of Business Education (CBE): A prominent higher learning institution in Tanzania with its main campus right in Dar es Salaam (along with campuses in Dodoma, Mwanza, and Mbeya). It offers programs in business administration, accountancy, marketing, and procurement.
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded CBE: Suala la matokeo ya Wanafunzi wa 2018/19 na 2019/20 kutowekwa katika mfumo wa NACTVET, linashughulikiwa

    Hoja ya awali ~ Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa katika Mfumo wa NACTVET YAH: UFAFANUZI KUHUSU MATOKEO YA WANAFUNZI KUTOPANDISHWA KWENYE MFUMO WA NACTVET TAREHE: 20/10/2026 Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Kampasi ya Dodoma, kimeona taarifa iliyosambazwa kwenye...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa katika Mfumo wa NACTVET

    Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa kwenye Mfumo wa NACTVET, mtu aliyemaliza miaka hiyo akirudi chuoni kuendelea na masomo, anaambiwa matokeo yake bado hayapo NACTVET. Miaka yote hiyo walikuwa wanafanya nini? Sasa mtu hawezi kuendelea na Degree mpaka matokeo yawepo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha CBE, kuna changamoto ya kutokuwa na uwiano katika mgawanyo wa credit za masomo

    Katika Chuo cha CBE, kuna changamoto ya kutokuwa na uwiano katika mgawanyo wa credit za masomo. Kwa mfano, mwanafunzi anayesoma Accountancy anaweza kukuta somo linalopaswa kuwa la msingi (core subject) limepewa credit chache, hali inayoathiri mchango wake katika kukokotoa GPA. Hali hii inazua...
  4. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Niffer, Amefanikiwa Kukusanya Shilingi Milioni 111 Ndani ya Siku Mbili Kuokoa Maisha ya Mwanafunzi wa CBE, Najath Ibrahim

    Jitihada za kibinadamu zimeleta matokeo makubwa baada ya mfanyabiashara na mshawishi wa mitandao ya kijamii, Niffer, kufanikisha ukusanyaji wa Shilingi milioni 111 kwa ajili ya matibabu ya mwanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Najath Ibrahim, anayesumbuliwa na tatizo la figo. Najath...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matokeo ya Wanafunzi wa CBE Mwanza Campus hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET

    Sisi ni baadhi ya Wanafunzi wa Diploma (March Intake 2025/2026) wa CBE Mwanza Campus hadi sasa matokeo yetu bado hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET, jambo linalotukosesha fursa za kuomba ajira na kujiunga na masomo ya juu. Tunapofuatilia chuoni mara nyingi tunaambiwa tusubiri bila kupewa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa CBE campus ya Dodoma tuna stress za course kutokana na kucheleweshwa na kutokamilishwa kwa wakati

    Wanafunzi wa CBE campus ya Dodoma NTA LEVEL 4, 5 na 6 tupo kwenye preparation week kwaajili ya mtihani wa kumaliza semister ya pili ila course work hatujapata na baadhi ya waalimu hawajakamilisha majaribio hasa individual na group assignment. Pia majaribio tuliofanya yaani test 1 na test two...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tuliosoma Ordinary Diploma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) – Mwanza tunashindwa kujisajili Ajira Portal

    Mimi ni mhitimu wa ngazi ya Ordinary Diploma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Mwanza, nimesoma kwa miaka 3 (yaani 1st year Certificate, 2ry & 3yr Diploma nimehitimu 2024 November lakini nilivyojaribu kufuatilia Vyeti vyangu vya Certificate na Diploma nimepata kimoja cha Diploma...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kuelekea CBE Mwanza imeharibika na ni hatari kwa Watumiaji

    Hii ni sehemu ya barabara la Mwanza ukiwa unaenda Chuo cha CBE Mitaa ya Nyakato Mecco, unaweza kujua ni mto kumbe ni barabara. Barabara la Kangae, sasa hivi ni miezi 9 tangu hali imekuwa hivyo ya shimo na kuharibika. Tangu yatokee maafali ya Chuo cha CBE wahusika walikwangua Barabara, shughuli...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha CBE Dar kinachelewesha sana kutoa vyeti kwa Wahitimu wao

    Kero yangu, kijana wangu amehitimu chuo Mwaka 2025 katika Chuo cha CBE Kampasi ya Dar, Kozi ya Business Administration lakini mpaka leo Februari 2026 ameenda chuo kufuatilia cheti amejibiwa mpaka mwezi wa tatu, kabla ya hapo waliambiwa mpaka Februari 2026. Chuo amegraduate 02/12/2025, vyuo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tumehitimu CBE Dar lakini mfumo unasoma ‘continue’, tunashindwa kupata vyeti

    Kero yangu ni kuhusu Chuo cha Elimu ya Biashara, nimehitimu chuo cha Elimu ya Biashara CBE Dar es Salaam Mwaka 2025 lakini changamoto iliyopo mpaka leo mfumo unasoma continue wakati nimeshahitimu. Mimi na wenzangu tumefuatilia sana wanasema wanalifanyia kazi wakidai changamotoipo kwenye mfumo...
  11. khmbrzy

    JamiiForums Tanzania Kati ya TIA, CBE na IFM

    Kati ya IFM- Insurance and Risk Management TIA- Business administration CBE- Banking and Finance Kati ya hvyo vyuo na hzo courses ni chuo gani niende guys naombeni na reason Ila nina diploma ya insurance and Risk management kutoka IFM
  12. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania TATIZO SUGU LA CHUO CHA CBE KUTOPELEKA MATOKEO YA WANAFUNZI NACTEVET

    CBE nawalalamikia binti yangu kamaliza 2024 Diploma lakini akienda Nactevet anaoneshwa kwamba wahusika wa CBE examinations officers hawajampandoshia matokeo yake yote bila taarifa wala sababu.za msingi. Tunaomba Mkuu wa chuo Prof Thandi Luoga kulifanyia kazi hili.haraka ikiwezekana tumbua...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha CBE (Dar) hakijibu emails na simu hazipokeleki ukiwa nje ya nchi

    Mimi ni mwanafunzi niliyehitimu katika chuo cha elimu na biashara campus ya Dar-es-salaam Diploma ya INFORMATION TECHNOLOGY. Nimesoma cheti nikamaliza nikaendelea diploma ila cha ajabu sana ni kwamba kwenye mfumo inaonesha mimi bado nasoma cheti na matokeo yangu ya muhula wa pili cheti...
  14. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Kuita IFM, DIT, NIT na CBE kama vyuo ni makosa makubwa sana

    Vyuo vya ufundi kama VETA (Vocational Education and Training Authority) Vyuo vya ualimu kama DUCE (Dar es Salaam University College of Education) Vyuo vya afya kama Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) IFM , CBE, DIT Wanafunzi mpaka anahitimu hajui kama anasoma kwenye...
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

    Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇 Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE? Maswali yanazidi kuchanganya umma...
  16. J

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uovu WA CBE kampasi ya Dar mwaka 2024

    Katika mwaka 2024, Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Dar es Salaam kimekumbwa na changamoto kadhaa ambazo zimeleta malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wadau mbalimbali. Makosa haya yameathiri kwa kiasi kikubwa uzoefu wa wanafunzi na ubora wa elimu inayotolewa. tuanze na 1. Uchaguzi...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO CBE Dodoma hawatoi vyeti kwa ngazi ya Astashahada mpaka wamalize Stashahada

    Ni jambo la ajabu kwa ngazi ya certificate kukosa cheti eti mpaka umalize diploma ndio upewe cheti. Hii haipo sawa na inatukwamisha kimaisha. Tunaomba mtoe vyeti kwa wahitaji muache janja janja, kila ngazi ina cheti chake.
  18. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Wapi bora, chuo cha TRA au chuo cha BOT au CBE na TIA

    Kuna mtoto wangu anaomba akasome mambo ya banking au kodi. kati ya TRA academy na BOT academy, wapi bora unafikiri aende? which one is better than the other. asante.
  19. The introvert

    JamiiForums Tanzania Alichoandika George Ambangile YOUNG AFRICANS 6-0 CBE (7-0)Agg

    ANAANDIKA MCHAMBUZI,GEORGE AMBANGILE. . . ✍🏻Yanga wamecheza hii mechi utasema vile mechi ya mkondo wa kwanza alifungwa 1: Sharp wakiwa na mpira na bila mpira 2: Aggressive ( matumizi ya nguvu katika sehemu sahihi ) 3: Kushinda mipambano yao ( win duels ) 4: Recovery runs + Counter...
  20. anoldmedia

    JamiiForums Tanzania CAFCL 24/25 YANGA 🆚️ CBE

    Ligi Ya mabingwa Barani Africa kuendelea Leo Tena ambapo Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano hiyo YANGA SC watashuka dimbani majira Ya saa 2 usiku dhidi ya CBE ya Ethiopia. Mkondo wa kwanza ulimalizika kwa Yanga sc kushinda Goli 1 ambalo lilifungwa na Prince Dube⚽️
Back
Top Bottom