Msaada wa Sim Nzuri ya laki mbili Wakuu

Msaada wa Sim Nzuri ya laki mbili Wakuu

i
Mkuu angalia brand nunua Samsung S2 kwa hela hiyo au ongezea kidogo nunua Samsung j2 250k ukishindwa kabisa chukua Samsung j1 ace achana kabiisa na Tecno utajuta ! Tecno ni Tecno tuu hata ikiwa phantom jitahidi ufanye hvyo au chukua iPhone 4 hautokuja kujuta kutumia Simu hizo kwa bei hiyo



i phone4 ishakuwa outdated,labda 4s
 
Nunu samsung z2 ni kama laki na tisini hivi na ina 4g
 
Mkuu njoo nikupe tecno w4...used for only two months
 
Mkuu ulianza kuvutiwa na infinix sasa hivi umeingia hadi halotel [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Unajua nini mkuu tunaangalia ubora wa simu ndo maana nauliza makampuni tofauti tofauti
 
Simu yoyote haitakiwi kuchajiwa huku inawaka, maana yake pia usiichaji huku unaitumia!
Halafu hautakiwi kujazilizia chaji mfano INA 56% wewe unaweka chaji , hii kitu haifai unaua betri, unatakiwa kusubiri mpaka 15% ndo uchaji na usiitumie mpaka ijae 100% ukifata masharti yote hayo huwezi kulalamika eti smartphones hazikai na chaji
 
Sijawahi kutumia smart phone inayotunza chaji kama infinix hot 4 lite, simu zote nilizotumia kwa infinix hazioni ndani aisee infinix asikwambie mtu ni balaa kwa kutunza chaji, ulizia members waliowahi kutumia infinix
Ni kweli kabisa, mkuu uko sahihi, mi ninayi Lite 2 kwakeli sijutii
 
Natumia infinix hot 4lite ukiacha uwezo wa kukaa chaji ni sim ngumu sana hii na Ina kasi sana pia kioo chake kiko clear kabisa
 
Sio kwa infinix mkuu,
Ni simu ya kawaida (sio brand kongwe wala kubwa kwa umaarufu) ila ni brand ya kwanza kunishangaza kwa uwezo wake wa kutunza chaji sijapata kuona simu kama ile.
Unaweza kuwasha data kwa masaa 12 mfululizo na betri isiishe chaji
Kwa kuwasha data tu bila kuperuzi au? Maana kama bila kuperuzi hii NOKIA LUMIA 925 ninayoitumia itaweza fikisha hata siku tatu endapo nitawasha data bila kuperuzi ila WhatsApp nitakuwa nachart kama kawaida huku nikiwa na net ya kasi ya 4G
 
Back
Top Bottom