Msaada wa Sim Nzuri ya laki mbili Wakuu

Msaada wa Sim Nzuri ya laki mbili Wakuu

Nina laki mbili Wakuu nishaurini ninunue Sim Gan je infinix zimeshaingiia Tanzania Maana naziona kweny mtandao. Asanteni

Usihofu mkuu, kuna kibaka mmoja humu JF anaitwa Jidu La Mabambasi.....huyu atakusaidia tu maana ana kila kitu cha wizi. Anazo simu mpya za iPhone hazijatoka hapa Bongo ila yeye anazo na anauza chini ya laki mbili tu.
 
chukua tecno c7 cm kali mi natumia hapa,, ni new version kdg,ram 2gb,internal 16, camera 13 mbele na nyumaa,
 
Mkuu nimenunua tecno w3lite Mh ad kelo Sms kuingia kwa shida Sana
Hii ninayotumia hapa ni techno w5 lite iko poa. Kero yake neno kwenye sms usipolithibitisha kwenye dictionary yake inakuandikia madudu hadi keep. Mkwanja ni laki 2.5.
 
Hizi simu huwa zinanikera charge Tu ,yaani unakuwa mtumwa wa charge vibaya
Simat phone zote kwa ujumla ni shida kwenye charge
Umekariri mkuu, smartphone ulizokuwa unasikia miaka ile siyo smartphone za miaka hii, za miaka hii zinakaa na chaji mpaka mwenyewe unafurahi.
Smartphones nyingine zinakaa na chaji kuliko feature phones unazoziaminia.
Unatumia simu gani?
 
Infinite
 
Techno ndo kabisa ni zero
 
Mambo ya simu bwana wakati mwingine ni kama mubahatisha
 
Hii ninayotumia hapa ni techno w5 lite iko poa. Kero yake neno kwenye sms usipolithibitisha kwenye dictionary yake inakuandikia madudu hadi keep. Mkwanja ni laki 2.5.
Umechukulia wapi Au kariakoo?
 
Nashukuru mkuu Ila nasikia chaji azidumu eti Kweli mkuu
Sijawahi kutumia smart phone inayotunza chaji kama infinix hot 4 lite, simu zote nilizotumia kwa infinix hazioni ndani aisee infinix asikwambie mtu ni balaa kwa kutunza chaji, ulizia members waliowahi kutumia infinix
 
Mimi natumia tecno c8 inaeda mwaka wa pili sasa...kuhusu charge ni jinsi ya kuicondition simu yako pale utakapo inunua yakupasa uitreat kama mtoto mdogo...1st usicharge cm hadi iwe na 1%.. 2nd ukiwa unacharge izime na usubiri hadi ijae ndo uitoe...mimi nikicharge yangu usiku natumia kesho yake na games nacheza na data ckumbuki kama nilishawahi kuzima [emoji111]
 
Ni bei gani
 
Mkuu c8 zinakaa Sana chaji tofauti na Sim izi zingine kama w3,4,5 nk
 
Back
Top Bottom