Msaada wa Sim Nzuri ya laki mbili Wakuu

Msaada wa Sim Nzuri ya laki mbili Wakuu

Simat phone zote kwa ujumla ni shida kwenye charge
Sio kwa infinix mkuu,
Ni simu ya kawaida (sio brand kongwe wala kubwa kwa umaarufu) ila ni brand ya kwanza kunishangaza kwa uwezo wake wa kutunza chaji sijapata kuona simu kama ile.
Unaweza kuwasha data kwa masaa 12 mfululizo na betri isiishe chaji
 
Mkuu,

Nimepitia tovuti yao, naona hiyo note 3 ni nzuri. Naweza pata wapi haswa hizo simu kwa hapa Tanzania? Hawana duka lao kama ilivyo kenya na baadhi ya nchi nyingine.

Kaka ...
Kama uko Dsm we nenda k/koo naamini utapata huko ndio kila kitu
Saivi zipo madukani
 
Mkuu angalia brand nunua Samsung S2 kwa hela hiyo au ongezea kidogo nunua Samsung j2 250k ukishindwa kabisa chukua Samsung j1 ace achana kabiisa na Tecno utajuta ! Tecno ni Tecno tuu hata ikiwa phantom jitahidi ufanye hvyo au chukua iPhone 4 hautokuja kujuta kutumia Simu hizo kwa bei hiyo
 
Back
Top Bottom