Msaada wa Sim Nzuri ya laki mbili Wakuu

Vip mbovu Au
Infinix ziko vizuri, kuanzia uwezo wa betri ni balaa unaweza kukaa online masaa 12 ukiwa na infinix hot 4 lite.
Huo ni mfano maana nilitumia kidogo ila zipo nyingi jitahidi upate yenye betri kuanzia 4,000mAh utafurahi na roho yako.

Bei zake ni za kawaida mnooo nenda shop utapata
 
Hizi simu huwa zinanikera charge Tu ,yaani unakuwa mtumwa wa charge vibaya
 
Infinix ziko vizuri, kuanzia uwezo wa betri ni balaa unaweza kukaa online masaa 12 ukiwa na infinix hot 4 lite.
Huo ni mfano maana nilitumia kidogo ila zipo nyingi jitahidi upate yenye betri kuanzia 4,000mAh utafurahi na roho yako.

Bei zake ni za kawaida mnooo nenda shop utapata
Kwa iyo mkuu Kati ya tecno na infinix unanishauri ninunue Ipi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom