Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,464
- 27,558
Wakuu Hope mpo salama salimini Kwa ambao Afya zenu zinachangamoto Mola awafanyie wepesi na kuzidi muimarike daima.
Naomba msaada wa haraka Nina hela 10 nahitaji kuzilima mahindi katavi hivyo nimekuja kwenu kuomba Jina la dawa nzuri ya kusafishia shamba yaani kuua magugu aina yote shambani.
Pia baada ya hapo nahitaji dawa nzuri ya kuua magugu kwenye mahindi yaani dawa ya palizi.
Ahsant sana wakuu.