Ni simu gani Yenye Camera nzuri upande wa Video?

Ni simu gani Yenye Camera nzuri upande wa Video?

Mzigua_255

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2026
Posts
944
Reaction score
1,925
Wakuu habarini?

Nina bajeti ya 250k Laki mbili na nusu Nahita sim yenye camera nzuri Upande wa video Nataka kua content creator tiktok Nataka sim nzuri yenye camera

Yenye Quality nzuri

NAWASILISHA.
 
😂😂😂😂😂 dah ndugu chukua tu Pixel 4
 
Back
Top Bottom