Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

Kwani Kwenye mkataba wenu kuna kipengele cha kusumbuana.

Muda wa Kodi umeisha tafuta mpangaji mwingine mpe notice ya week moja Basi,.

Kama Hana hela aondoke hiyo siyo nyumba Yake ni yAKO.
Dunia haiendi ivyo ubabe HAIJAWAI kumwacha mtu salama....mletee ubabe mtu Smart šŸ¤“
Alaf Rudi hapa kucomment
 
Ndugu kama mpangaji wako anakusumbua unawezaje kuziongoza familia yako........chukua hatua za kiume na umtimue hapo nyumbani kwako......bila kusahau kufuata utaratibu wa kisheria ili ubakie salama.....
 
sure bora hela ununue hata bajaji tu muda mwingine
Nimewahi kuwa nazo 2, lakini katika biashara niliongia hasara ni pamoja na hiyo.

Kwasasa nataka bora ninunue vi Vits nivifanye Uber/Bolts/Indrive tu kufidia hela niliyopoteza kwenye Bajaj šŸ™Œ
 
Naelewa, muhimu kutoa taarifa ya kuchelewesha kodi mapema, sio unakaa kimya huku ukijua mwenzio ametumia hela kujenga nyumba unayokaa.
Hata taarifa mkipewa hamtaki, pia anakua na imani kuwa ataweza kulipa bila shida, ila mambo yanazidi kuna magumu
 
Habarini Wanajamvi,

Kuna mpangaji wangu ni msumbufu balaa kulipa kodi anasumbua (ana deni la miezi 2) na bill ya maji ndiyo kabisa hajisumbui.

Naombeni msaada jinsi ya kudeal na wapangaji wasumbufu kama hawa maana nataka nishike hata mali yake moja ya gharama asije akahama usiku usiku.

Asanteni, nasubiri ushauri wenu
Kama ana mke au mwanamke wake piga mae shoo kama malipo... usisahau kumrekodi..
 
Hata taarifa mkipewa hamtaki, pia anakua na imani kuwa ataweza kulipa bila shida, ila mambo yanazidi kuna magumu
Wakati naishi nyumba za kupanga sijawahi kuwa msumbufu kwenye kodi, Umeme wala Maji. Nadhani ni suala la civilizations la mtu binafsi.

Ukitoa taarifa mapema ina saidia kujenga uaminifu.

Na baadhi ya akina Dada hutaka kujenga mazoea na Baba mwenye nyumba ili asiwe analipa kodi, hajui hapa Mjini "tumetumwa hela" kwa lafudhi ya Mangi 🤪
 
Tumia ustaarabu pesa inasumbua Sana ndugu ukiona mtu anakucheleweshea kodi usifikiri ni makusudi Hali ni mbaya Sana huku mahangaikoni.

najua kuwa lazima atakuwa anakufikiria sana kwa kuwa kipao mbele chake au Cha mtu yeyote kwenye maisha haya ni sehemu ya kulaza mbavu.

Jaribu kumsikiliza na kumuelewa miezi 2 sio mingi kabisa kwa sisi watafutaji mpe muda hata Kama atakutoroka muache aende punguza roho mbaya nae hana Kama wewe ambavyo huna unamkomalia.
Mwenye nacho ambaye ndiye mwenye nyumba kumbe naye hana kama alivyo mpangaji?

Nakuunga mkono kwa hili, hasa kwa ma land loard ambao wamerithi mijengo hata ule uchungu halisi wa kujinyima na kujenga hawaujui, bali wao ni kudai na kuweka pesa kibindoni.

Ukim-vise verse awe yeye ndiye mpangaji na mdaiwa, utakuta naye anachengesha tu.

Tukija kwenye mada iliyo mbele yetu ni kwamba, kuna wapangaji wakorofi bila ya kujali ana kipato gani, kuna ujinga wa kuhisi wapangaji wanalindwa na sheria, bila ya kujua kuwa sheria ni msumeno unaokata kote kote.

Fikiria mtu kawekeza kwenye nyumba il aishi, halafu halipwi, hapo inakuwaje?

Na mtu unapotaka kuistiri familia yako kwenda kupanga nyumba ya mtu, si mpaka uweke bajeti hiyo na namna ya kuilipa?

Kama hauna uwezo wa kulipa pango kwanini ukapange?

Kukwama hatukatai, basi kwama mwezi mmoja, mwezi wa pili lpa.

Binafsi nikikutana na mpangaji 'kabila' hiyo nipo radhi kusamehe hela ninazomdai ili mradi ahame apishe wapangaji wenye uwezo wa kulipa.

Na uhamaji wa kudhulumiana kodi hauwi wa heshima.

Kwahiyo, mabaunsa watahusika pamoja na kutupiana virago nje, unyama unyamani.
 
Mwenye nacho ambaye ndiye mwenye nyumba kumbe naye hana kama alivyo mpangaji?

Nakuunga mkono kwa hili, hasa kwa ma land loard ambao wamerithi mijengo hata ule uchungu halisi wa kujinyima na kujenga hawaujui, bali wao ni kudai na kuweka pesa kibindoni.

Ukim-vise verse awe yeye ndiye mpangaji na mdaiwa, utakuta naye anachengesha tu.

Tukija kwenye mada iliyo mbele yetu ni kwamba, kuna wapangaji wakorofi bila ya kujali ana kipato gani, kuna ujinga wa kuhisi waoangaji wanalindwa na sheria, bia ya kujua sheria ni msumeno unaokata kote kote.

Fikiria mtu kawekeza kwenye nyumba il aishi, halafu halipwi, hapo inakuwaje?

Na mtu unapotaka kuistiri familia yako kwenda kupanga nyumba ya mtu, si mpaka uweke bajeti hiyo na namna ya kuilipa?

Kama hauna uwezo wa kulipa pango kwanini ukapange?

Kukwama hatukatai, basi kwama mwezi mmoja, mwezi wa pili lpa.

Binafsi nikikutana na mpangaji 'kabila' hiyo nipo radhi kusamehe hela ninazomdai ili mradi ahame apishe wapangaji wenye uwezo wa kulipa.

Na uhamaji wa kudhulumiana kodi hauwi wa heshima.

Kwahiyo, mabaunsa watahusika pamoja na kutupiana virago nje, unyama unyamani.
Nakunukuu,
"Kwahiyo, mabaunsa watahusika pamoja na kutupiana virago nje, unyama unyamani."

Yaah unafuata utaratibu then ndio unaleta mabaunza ukianza na ma baunsa kibao kinageukia kwako...So fuata protocol.....šŸ˜†ā˜ŗļøšŸ˜ŠšŸ¤“
 
Kama hakuna mshahara wa miezi3 nenda kajenge nyumba YAKO tusisumbuane, utalipa miezi3 au sita hutaki siyo lazima jenga YAKO. Au wewe unayo umepangisha unaweza FANYA hivyo wakulipe mwezi ILA wenye nyumba wengi hawawezi kufanya hiyo biashara kichaa
Mimi nikiona mpangaji anazingua namwambia alipe mwezi mmoja mmoja.
 
Tafuta Ajira au Biashara rasmi yaani elfu 90k ndo unalalamika kuwa hujalipwa acha upumbavu ,watz mnaishi Maisha ya hovyo Sana. ...ukitoa vitu vyake nje hakikisha unaandaa mtu wa kukutoa magereza.
Dah mkuu umemuuwa kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji114]
 
Wakati naishi nyumba za kupanga sijawahi kuwa msumbufu kwenye kodi, Umeme wala Maji. Nadhani ni suala la civilizations la mtu binafsi.

Ukitoa taarifa mapema ina saidia kujenga uaminifu.

Na baadhi ya akina Dada hutaka kujenga mazoea na Baba mwenye nyumba ili asiwe analipa kodi, hajui hapa Mjini "tumetumwa hela" kwa lafudhi ya Mangi [emoji2957]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie wala sijawahi kusumbuana na mzee wa mjengo, tena uzuri wake mzee wa mjengo yuko mkoa mwingne, huwa tunamrushia kwa muamala.

Mie huwa nalipa tena hata kabla ya muda kufika, maana madeni mie naogopa km ukomaa.

Kuna rafiki angu yeye wazazi wake wanajua yuko hostel, kumbe kapanga nje. Alijiahidi kulipa lipa ikafka hatua akakwamaa uwiiiiiiih
Sio kwa yule baba afu nae alikua maeneo Yale Yale alisumbuka mnooo.

Ila wenye nyumba muwe wavumilivu bhana.
 
Upo Hapo msewe 😁bila shaka
 
We jamaa vp vunja mlango weka vitu vyake nje anavikuta akirudi,au vifungie stoo badilisha kitasa na mpk avikomboe alipe kodi miezi miwili.
Sema kulogwa sasa.
 
Back
Top Bottom