Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

Bora uweke lodge ...wanakupa chako mapema na ikifika asubuhi Saa nne unawagongea waondoke hata kama waliingia Saa nane usiku
Ndiyo mpango niliona nao, nasubiri kodi zao ziishe mwezi December then January naleta fundi aje afanye marekebisho ya rangi na floor ili kufikia March hivi ikamilike.

Iwapo itakuwa Lodge nitahitaji miaka 2 tu hela yangu ya Ujenzi irudi
 
Habarini Wanajamvi,

Kuna mpangaji wangu ni msumbufu balaa kulipa kodi anasumbua (ana deni la miezi 2) na bill ya maji ndiyo kabisa hajisumbui.

Naombeni msaada jinsi ya kudeal na wapangaji wasumbufu kama hawa maana nataka nishike hata mali yake moja ya gharama asije akahama usiku usiku.

Asanteni, nasubiri ushauri wenu
...Hata kudeal na Mpangaji Msumbufu Mpaka uje JF Upate Ushauri ???
Mna ioverwork!
Mtimue....!
 
Tumia ustaarabu pesa inasumbua Sana ndugu ukiona mtu anakucheleweshea kodi usifikiri ni makusudi Hali ni mbaya Sana huku mahangaikoni.

najua kuwa lazima atakuwa anakufikiria sana kwa kuwa kipao mbele chake au Cha mtu yeyote kwenye maisha haya ni sehemu ya kulaza mbavu.

Jaribu kumsikiliza na kumuelewa miezi 2 sio mingi kabisa kwa sisi watafutaji mpe muda hata Kama atakutoroka muache aende punguza roho mbaya nae hana Kama wewe ambavyo huna unamkomalia.
Hili limenifikirisha sana sana kuna mtu namjua mtaani bado kidogo ajitoe uhai jamaa alikuwa hana kazi mkataba umeisha. Ada wife anamdai utafikiri yye ndo mmiliki wa shule , kula nk
Ila wanawake watu wabaya sana aisee yule dada alikuwa anarudi upande wa mwenye nyumba kumgombeza mchizi. Jamaa akawa anapiga tungi mbaya. Sasa amepata kazi kubwa kumzidi yule bwana mwenye nyumba . Tujifunze kuwatendea wqtu mambo mema
 
Habarini Wanajamvi,

Kuna mpangaji wangu ni msumbufu balaa kulipa kodi anasumbua (ana deni la miezi 2) na bill ya maji ndiyo kabisa hajisumbui.

Naombeni msaada jinsi ya kudeal na wapangaji wasumbufu kama hawa maana nataka nishike hata mali yake moja ya gharama asije akahama usiku usiku.

Asanteni, nasubiri ushauri wenu
Ita balozi na ubadilishe kitasa Cha mlango,akija akute hola!Atakulipa lazima.
 
Tumia ustaharabu miezi Mwili mbona michache Sana au unategemea Kodi ili kuishi ,

Mtu Kama alikuwa analipa vizuri Mwanzo bila kusua sua at the time amekwamba unashindwa Nini kumuelewa kuwa amekwama ! Hii tabia chafu na mbaya alikuwa nayo my mom anawafokea wapangaji Kama watoto lakini luckly tenants wote now wapo na nyumba zao za maana nahisi life is simple Mtu akikwama mpe Muda na unabidi kujua kwanini amekwama to pay ur rent .

Life Time limited
 
Ita balozi na ubadilishe kitasa Cha mlango,akija akute hola!Atakulipa lazima.
Na hiki ndo nachokifahamu, unaenda KWA mjumbe chini ya uongozi ya serikali vitu vinatolewa au kitasa kinabadilishwa siyo mtu ananiambia ety sheria inasema nimuache miezi3 halafu hakutafuti simu apokei hizo sheria kweli ndugu yangu?
 
Habarini Wanajamvi,

Kuna mpangaji wangu ni msumbufu balaa kulipa kodi anasumbua (ana deni la miezi 2) na bill ya maji ndiyo kabisa hajisumbui.

Naombeni msaada jinsi ya kudeal na wapangaji wasumbufu kama hawa maana nataka nishike hata mali yake moja ya gharama asije akahama usiku usiku.

Asanteni, nasubiri ushauri wenu
Mpe notisi ahame mzee usihangaike na kukamata mali zake pesa zipo tu hizi usimvunjie utu
 
Back
Top Bottom