Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,983
- 2,396
- Thread starter
- #121
nkimfukuza sahivi naona kama ntaingia hasara nasubiri alipe tu nimfukuzeFukuza aje mpangaji mwingine
nkimfukuza sahivi naona kama ntaingia hasara nasubiri alipe tu nimfukuzeFukuza aje mpangaji mwingine
madeni makubwa mno ni hasara kumfukuza mkuuSi umtoe tu,
mzee ni ana kalenda halafu ubaya kupokea simu nayo ni ishu kwakeTumia ustaarabu pesa inasumbua Sana ndugu ukiona mtu anakucheleweshea kodi usifikiri ni makusudi Hali ni mbaya Sana huku mahangaikoni.
najua kuwa lazima atakuwa anakufikiria sana kwa kuwa kipao mbele chake au Cha mtu yeyote kwenye maisha haya ni sehemu ya kulaza mbavu.
Jaribu kumsikiliza na kumuelewa miezi 2 sio mingi kabisa kwa sisi watafutaji mpe muda hata Kama atakutoroka muache aende punguza roho mbaya nae hana Kama wewe ambavyo huna unamkomalia.
mkataba upo sema huruma ndo inaniponza na woga wa kuingia hasaraMkataba wako mbovu au hana ndio sababu
familiawa kike ama wa kiume..???
[emoji23]Wewe ndo huyo mpangaji?
ukimtoa kabla inakuaje au ndo mambo ha mahakamani tenaMsubilie afikishe mi3 ndo utakuwa na mamlaka ya kumtoa kisheria
hapanaJe ni askali polisi?
huruma ipo lakini kila mtu inabidi awajibikie matatizo yakeMiezi miwili tu?
Kuna mmoja tulipelekeshana mwaka na zaidi..!!
Tulipelekana hadi mahakamani, ila yule mwamba daah!!!
Ilifika mahali nikasema ngoja niende nae hadi mwisho wake tuone utakavyokuwa baada ya kuwa mstaarabu tu kwa kipindi chote hicho!
Mwamba alikuwa na madeni maduka yote ya mtaa, na wengine walijua nyumba yake!
Aliabika siku ya mwisho alikopotelea sijui, vitu vyake vipo vimeoza vingine!!!
Ila nilimuonea huruma kama mwanaume mwenzangu maana awali alikuwa mlipaji mzuri mno, alikuwa analipa kwa mwaka wakati mwingine!
Ila anko Magu aiseeh apumzike kwa amani tu!
kweli nimejifunza the hard wayUsitegemee kodi ya mpangaji kuishi wala usiipangie bajeti kodi anayotarajia kukulipa.
Ukitaka kupata kodi ambazo hazina usufumbufu jenga apartment hakuna mpangaji msumbufu, ila hawa tunaokaa nao nyumba moja wanasukuma siku tu wamejichokea kuliko wewe, uwe mwelewa tafuta kazi ya kufanya usiishi kwa kutegemea kodi.
sure bora hela ununue hata bajaji tu muda mwingineKama utakuwa ulipitia maisha ya kupanga kabla hujawa Baba mwenye nyumba hopefully utakuwa na uzoefu na changamoto.
Binafsi nina wapangaji 8, kuna wanaolipa kabla hujawakumbusha na kuna wengine una wakumbusha zaidi ya mara 5 lakini wamekuwa wakitoa ahadi tu pasipo kutimiza.
Kuna mmoja haja ana miezi 4 hajalipa, nasubiria ifike miezi 6 nimtoe kwa nguvu.
Yaani pamoja na kuwajali kwa kuwavutia Maji, Luku yao lakini bado Kodi yenyewe naipata kwa shida.
NB; Nikiambiwa kuchagua biashara ya kufanya hii ya kupangisha sio biashara kabisa, biashara gani hela yako ya mtaji inarudi baada ya miaka 11 [emoji134]
wazo zuri sana la kodi ya emergency ntalifanyia kaziFanya kama wazungu wanavyo fanya
Kabla ya kumpangisha aoneshe bank statement inayoonesha kipato chake ..uridhike kwanza ana kipato kweli au anabangaiza...
Kingine aweke dhamana ya hela ...mfano kuna mikataba unaweka Kodi ya miezi miwili kama dhamana ya kuharibu kitu....ikitokea mnasumbuana unampa notice haraka...
Pesa unamrushia ya dhamana kama hajaharibu kitu au humdai....
sure mkuu hiz nyumba jau sanaBora uweke lodge ...wanakupa chako mapema na ikifika asubuhi Saa nne unawagongea waondoke hata kama waliingia Saa nane usiku
ni mjeuri muongo muongo sanaMiezi 2? Huyo kwangu sio msumbufu. Kuna ambao wana mwaka hadi miaka kwy majumba ya watu.
Kaa nae tu chemba kistaarabu. Huenda ukajakuta ana mambo mazito yanamkabili na ukawa sehemu ya ushauri kwake
ngumu kweliKHAAAA nyumba yangu ulipi kodi nikuache miezi mitatu?
[emoji23]...Hata kudeal na Mpangaji Msumbufu Mpaka uje JF Upate Ushauri ???
Mna ioverwork!
Mtimue....!
ntafanyia kaziTumia ustaharabu miezi Mwili mbona michache Sana au unategemea Kodi ili kuishi ,
Mtu Kama alikuwa analipa vizuri Mwanzo bila kusua sua at the time amekwamba unashindwa Nini kumuelewa kuwa amekwama ! Hii tabia chafu na mbaya alikuwa nayo my mom anawafokea wapangaji Kama watoto lakini luckly tenants wote now wapo na nyumba zao za maana nahisi life is simple Mtu akikwama mpe Muda na unabidi kujua kwanini amekwama to pay ur rent .
Life Time limited
[emoji23]Woi nilijua mtu nachati nae ni anajua mambo ya sheria anisaidie, kumbe na wewe ni wale vijana wa kwenye kahawa,kwanini usimwambie MPANGAJI ajenge nyumba yake
Acha ROHO MBAYA WEWE miezi miwili tu umesha waza ushetani we mbwa haujui kuna kukwama auHabarini Wanajamvi,
Kuna mpangaji wangu ni msumbufu balaa kulipa kodi anasumbua (ana deni la miezi 2) na bill ya maji ndiyo kabisa hajisumbui.
Naombeni msaada jinsi ya kudeal na wapangaji wasumbufu kama hawa maana nataka nishike hata mali yake moja ya gharama asije akahama usiku usiku.
Asanteni, nasubiri ushauri wenu